Home
Unlabelled
vingunge wa afrika mashariki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MATAPELI WA KWETU HAO.huyo wa kati hapo ana nyumba ndogo kwa mama njerii!
ReplyDeleteKulia ni Rais wa East africa federation 2010. inapendeza hiyo
ReplyDeleteWa kwanza kushoto anawaza ni lini itafika 2010 awe raisi wa Maisha wa jumuiya. Wa pili hana mpango na jumuiya anafikiria ataiongozaje jumuiya kwa sasa, yaani mwaka mmoja tu ambapo atakuwa amemaliza muda wake.Na wa tatu nadhani wala hana mpango na jumuiya manake anajua ni mapema sana kwa shirikisho kufikiwa ukitilia maanani maslahi ya Tanzania.
ReplyDeletehuyo wa kati tai hadi kwenye nanihii
ReplyDeletemdogo wake moi tai mpaka kwenye korodani laa!
ReplyDeletewezi wakuu na mavazi yao ya kimagharibi ya kuhadaa umma.
ReplyDeleteM7 anataka jumuiya iwe Shirikisho hata kesho ili awe rais wa kwanza.
ReplyDeleteKuweka muda mpaka mwaka wa 2010 anaona kama wanamwekea usiku tu.
M7 anastahili,amefanya kazi sana, kuitoa uganda kwenye damu mpaka ilipo sasa. kama nchi inayoheshimika japo kuna matatizo ya hapa na pale ya haki za binadamu, ambayo ni komoni ktk nchi nyingi za kiafrika.jamjam
ReplyDeleteMazungumzo ya nani aongoze jumuiya yatufanye tuelewe kuwa hili jambo halifai wala halilipi
ReplyDeleteAFRIKA BADO TUNA SAFARI NDEFU KUELEKEA MAENDELEO,KWANZA TUNGEJIBIDISHA KATIKA MAENDELEO YA NCHI ZETU NDIPO TUWAZE KUUNGANA!FAMILIA ZILIZOCHANGANYIKIWA HAZIWEZI KUKAA NYUMBA MOJA PAKAWA SALAMA.DEMOKRASIA YA KWELI NDIO UFUMBUZI YA UTAWALA BORA,NA UCHUMI THABITI NDIO INJINI YA MAENDELEO.TUJIFUNZE KWANZA JINSI YA KUTAMBUA RASILIMALI TULIZONAZO NA MATUMIZI SAHIHI KWA MAENDELEO YA TAIFA KWA RASILIMALI HIZO.NI LAZIMA TUJITOE MUHANGA.
ReplyDeleteSI TUNAMUONA GEORGE BUSH ANAVYOWAZA MAFUTA NA KULETA TAABU ZA KUTISHA DUNIANI KWA AJILI YA UTUKUFU WA MAREKANI TU!SIPENDI!