vingunge wa afrika mashariki baada ya kumaliza mkutano wao jana arusha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. MATAPELI WA KWETU HAO.huyo wa kati hapo ana nyumba ndogo kwa mama njerii!

    ReplyDelete
  2. Kulia ni Rais wa East africa federation 2010. inapendeza hiyo

    ReplyDelete
  3. Wa kwanza kushoto anawaza ni lini itafika 2010 awe raisi wa Maisha wa jumuiya. Wa pili hana mpango na jumuiya anafikiria ataiongozaje jumuiya kwa sasa, yaani mwaka mmoja tu ambapo atakuwa amemaliza muda wake.Na wa tatu nadhani wala hana mpango na jumuiya manake anajua ni mapema sana kwa shirikisho kufikiwa ukitilia maanani maslahi ya Tanzania.

    ReplyDelete
  4. huyo wa kati tai hadi kwenye nanihii

    ReplyDelete
  5. mdogo wake moi tai mpaka kwenye korodani laa!

    ReplyDelete
  6. wezi wakuu na mavazi yao ya kimagharibi ya kuhadaa umma.

    ReplyDelete
  7. M7 anataka jumuiya iwe Shirikisho hata kesho ili awe rais wa kwanza.

    Kuweka muda mpaka mwaka wa 2010 anaona kama wanamwekea usiku tu.

    ReplyDelete
  8. M7 anastahili,amefanya kazi sana, kuitoa uganda kwenye damu mpaka ilipo sasa. kama nchi inayoheshimika japo kuna matatizo ya hapa na pale ya haki za binadamu, ambayo ni komoni ktk nchi nyingi za kiafrika.jamjam

    ReplyDelete
  9. Mazungumzo ya nani aongoze jumuiya yatufanye tuelewe kuwa hili jambo halifai wala halilipi

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 13, 2006

    AFRIKA BADO TUNA SAFARI NDEFU KUELEKEA MAENDELEO,KWANZA TUNGEJIBIDISHA KATIKA MAENDELEO YA NCHI ZETU NDIPO TUWAZE KUUNGANA!FAMILIA ZILIZOCHANGANYIKIWA HAZIWEZI KUKAA NYUMBA MOJA PAKAWA SALAMA.DEMOKRASIA YA KWELI NDIO UFUMBUZI YA UTAWALA BORA,NA UCHUMI THABITI NDIO INJINI YA MAENDELEO.TUJIFUNZE KWANZA JINSI YA KUTAMBUA RASILIMALI TULIZONAZO NA MATUMIZI SAHIHI KWA MAENDELEO YA TAIFA KWA RASILIMALI HIZO.NI LAZIMA TUJITOE MUHANGA.
    SI TUNAMUONA GEORGE BUSH ANAVYOWAZA MAFUTA NA KULETA TAABU ZA KUTISHA DUNIANI KWA AJILI YA UTUKUFU WA MAREKANI TU!SIPENDI!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...