Home
Unlabelled
wanja la taifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hayo ni maendeleo makubwa sana. nikiwa mshabiki wa soka, hiki kitu inanipa moyo sana na hii serikali ya awamu ya nne katika kuendeleza michezo
ReplyDeleteHayo si mawazo ya serikali ya awamu ya nne. Serikali hii imeiingia hapo kiwanja hiki kimeshaanza kujengwa. Michuzi watakumbuka kuweka public toilets lakini? Maana Waafrika na hao Wachina habari ya kujisetri hawana kabisa kwenye mawazo yao. Isije ikawa kama Kirumba Stadium.
ReplyDeleteNapongeza hatua za serikali iwe ya awamu ya tatu aua ya nne, potelea mbali, ili mradi umejengwa uwanja. Ila tu, nasikitika kwamba TZ viongozi hawaoni mbali sana. Huu uwanja ungejengwa nje kidogo ya mji ingekuwa poa saan, kwa sababu kwanza kungepunguza msongamano wa magari usio na lazima, na pia kuupanua mji ule wa Dar maana kila kitu cha muhimu kiko almost within the same location. Ingekuwa safi kama huu uwanja ungejengwa Kibaha au Boko au Bunju. Hili ndilo tatizo la ukosefu wa wataalamu wa Urbanization planning.
ReplyDeleteMaendeleo ya soka hayaletwi ana viwanja vikubwa/vizuri vya soka. Tunahitaji Uongozi bora wa vyama vya soka at all levels. By that I mean kuanzia wilayani, mikoani na Taifa.
ReplyDeleteUwanja pekee hautaleta ushindi kama maendeleo ya soka hayatiliwi mkazo ktk ngazi zote za nchi. Tutaendelea kushindwa the very first round on every tournaments
competitions.