hii ndo paradise holiday resort iliyoko bagamoyo, ikiwa ni moja ya mahoteli kama kumi hivi ya kitalii kwenye mji huo mkongwe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 08, 2006

    ni kweli anony hapo juu,michuzi unatupa raha kwa kutukumbusha mbali sanaa

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 08, 2006

    lakini nizaidi ya paa na usafi.Kunavitu vya thamani sana aidha na huduma ni ya hali ya juu sana kiasi ambacho kwakweli lazima uwe na wafanyakazi ambao wamesoma ili waweze kuhudumia vizuri wateja.
    Mie nadhani na miji mingine inaweza kama itakubali kujifunza kutoka kwa wengine lakini kama watakuwa tayari kutoa pesa.
    si vitu vya kutamani tu,ni gharama.

    ReplyDelete
  3. kwa taarifa: paa la juu si kuti pekee, chini yake kuna vigae vya kisasa

    ReplyDelete
  4. Hivyo huko Bagamoyo hawaogopi moto? Mliona moto iliotokea pala Bagamoyo Chuo cha Sanaa kwenye jengo lao iliyoezekewa kwa makuti?

    Mnakumbuka ile hall ya Bahari Beach (Nayo ya makuti) iliyoungua baada ya mtoto wa kizungu kuchezea moto?

    Haya labda siku hizi huko Bagamoyo kuna Fire Brigade ya kisasa!

    Lakini panapendeza sana! Naona Bagamoyo siku hizi ni Tourist Hot spot ya Bongo!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 16, 2006

    moto ndo nini bwana,mbona ulaya pia maafa ya moto kibao lakini hawana nyuba za makuti?au we unafikiri moto unachoma makuti tu, kukaa marekani kumkufanya uwe mshamba wa mambo madogomadogo kama haya.hahahaha

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 16, 2006

    acha kudharau mawazo hayo, tz hatuna mikakati ya kupambana na moto bwana, unafikiri ukitokea moto pale Bagamoyo wataweza kuzima? mpaka magari ya Zimamoto yatoke Dar aha aha aaaah, uliona jengo la chuo cha SANAA lilivyoteketea? kwanini uanbisha sasa wakati ukweli unao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...