Home
Unlabelled
kunduchi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nasikia hii hoteli sasa hivi ni five star.
ReplyDeleteBongo sasa hivi misehemu ya kujipumzisha kibao kweli kweli tatizo hela tu kutopatikana.
ReplyDeleteMichuzi hii habari ya kubinafsishwa mbona hatujaisikia mapema?
ReplyDeleteNani amechukua hiyo nafasi na kwa asilimia ngapi?
Na watz tumebakia na asilimia ngapi?
Je ni mtanzania ndie aliye ichukua au mtu toka nje ya nchi? Na kwa gharama kiasi gani?
Ni habari nzuri lakini kila kitu Tanzania kinabinafsishwa, je tutabakia na nini kama mali yetu?
Ni maswali tu, Kama majibu unayo au wasomaji wengine wanayo ningefurahi kuyapata.
Nadhani sitokuwa nimewaudhi baadhi ya wasomaji wengine, Kama mtakuwa mmeudhika kwa yote nawaomba mniwie radhi.
Nashukuru,
©2006 MK
MAKOPOLO NA GIRILI mie naombeni anwani zenu sijyu mtanipaje manake wanga wataanza kuwaandikia wakati niliyewaomba ni mimi.
ReplyDelete