jk akitoa heshima za mwisho leo kwa aliyekuwa mkuu wa kwanza wa mamlaka ya mapato tanzania (tra) hayati merkizedek sanare aliefariki dunia wiki ilopita. hapa ni kanisa kuu la kilutheri azania front

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 08, 2006

    Buriani boss wetu wa zamani! Tulikupenda kwa kweli...

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 08, 2006

    tunaomba picha yake buriani sanare

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 08, 2006

    mtoza ushuru bwana zakayo kashuka juu ya mti,sasa anaonana na bwana yesu chini kwa chini.buriani zakayo wetu.jj

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 08, 2006

    Hapa tayari kuna mtu anafikiria nafasi yake ya unaibu katibu mkuu. Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi. AMEN

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 12, 2006

    Someone should tell JK to wear a dark or black suit instead of grey/blue suit and gold tie to the event like this.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 12, 2006

    Please help me to know the prolem of that suit!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 14, 2006

    JK najua mtu wa kuvaa lakini haya matanga na tai ya chanikiwiti hapa ulikosea bosi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...