bwm akimtuliza mkewe mama wakati wa misa ya wafu siku baba mzazi wa mama anna, mzee maro, alipofariki, mwanzoni mwa mwaka huu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 08, 2006

    Tungeomba na Mzee wa Matrioni Awekwe Mzee

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 08, 2006

    jamani kumbe Mkapa anampenda mke wake looo watu kwa uzushi?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 08, 2006

    Hivi sasa kweli wanaishi wote au kila mtu na lwake. Hebu mwenye Fununu za maisha ya hawa wajamaa atumegee. Au sasa hivi Mzee anajirusha kivyake. Hivi yule Secretary mzee aliyehama nae kutoka science mpaka ikulu bado yupo ikulu au?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 08, 2006

    Nawapenda hawa jamaa kwa jinsi walivyo warembo. Vipi ofuspring wao nao ni wazuri hivi?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 09, 2006

    NYIE WATU NI MAFARA, WASENGE WAKUBWA KUKAA CHINI KUFUATILIA MAISHA YA WATU NDIO NINI? PIGENI MZIGO NA ACHENI UZUSHI. CHANGIENI HOJA ZENYE MUSINGI. ETI MWENYE FUNUNU AWAMEGEE NDIO NINI SI UMBEA HUO

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 09, 2006

    Wewe anony huna mpya, inaonekana umekulia Uswahilini ambako wazazi wenu wanajitukana wenyewe, ati mama yako anakwambia k*****o. Kiswahili chenyewe hujui " musingi" ndio nini? Kajifunze kiswahili kwanza, lau ukiendelea na matusi yako utabaki hujui Kiswahili millele.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 09, 2006

    wewe umeona kiswahili dili eeh,annoy hapo juu achananao hao makabwela hao makabwela wasio na kazi ya kufanya,ujifunze kisw kikusaidie nini?

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 10, 2006

    jamani mkapa alikuwa rais na hivyo si ajabu mtu akiuliza kuhusu lifestyle maana yeye mwenyewe ametaka kujiweka kwenye spotling ( uwanja wa umaarufu ) sasa sioni kama ni kosa mtu akitaka kujua maisha yake !!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 10, 2006

    Mwambie mkapa apumzike tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu aliyoyafanya yanatosha.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 13, 2006

    ANAYEJIONA WAZAZI WAKE WAKO/WALIKUWA BOMBA ABANIKE PICHA YAO NA YAKE TUKISIE AINA YA MAISHA YAO!HAWA NI WANADAMU KAMA WENGINE NA WANASTAHILI MAPUNGUFU KAMA YEYOTE!AMBAYE HAONI MKAPA AMEFANYA NINI AKALALE!
    NINI MAMANA YA KUBADILISHANA UONGOZI?KWANI MKAPA ALIKUWA HAWEZI UENDELEA?MAANA YAKE ANAYEMFUATA(JK)KUNA MENGINE MAPYA ATAYOYAFANYA AMBAYO MKAPA HAKUYAFANYA ILA AILIFANYA AMBAYO MWINYI HAKUYAFANYA ILA MWINYI AILFANYA AMBAYO NYERERE HAKUYAFANYA NA NYERERE ALIFANYA AMBAYO WAKOLONI WALIHARIBU NA HAPO NDIO TATIZO LILIPOANZIA!NA SASA VIJANA WANAWATUKUZA WAZUNGU WALIOIBA MALI ZETU NASI TWAONA KWAO NI KUZURI KULIKO KWETU NA VYAO NI VIZURI KULIKO VYETU!HAKI YA MUNGU,WAZUNGU KUNA VITU VINGI WAMEKOSA AMBAVYO WAAFRIKA TUNAVYO VYA KUMWAGA HIVYO HAWAWEZI KUFURAHI KAMWE KUONA TUKIWASOGELEA(ACHILIA MBALI KUWAFIKIA)MUNGU ZIDI KUIBARIKI AFRIKA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...