mambo yameanaza kuwa mazuri taratibu ambapo si tu watoto wengi wanaenda shule bali pia madarasa na madawati vipo. hii ni shule ya msingi ya manzese, darasa la pili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 01, 2006

    Kitonga said...
    hii inaonyesha jinsi jamii inavyozingatia umuhimu wa shule kwa kizazi hiki lakini jamani shule za manzese zina madawati leo hii tunawashukuru waliojitolea.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 01, 2006

    huyo binti hapo kaanza kuigizia mapema sana ana safari ndefu halafu huyu mtaalamu yaani mwalimu yuko pembeni yake haogopi kabisa lazima amerithi hiyo tabia tukichunguza kwa undani baba yake alikuwa hivyo hivyo.

    ila kweli tz sasa tumepiga hatua ambayo inafurahisha sana darasa zuri kiasi hicho kweli Mungu ibariki tz...na nyie mlio ughaibuni sio kusema tu shule zimekuwa nzuri mrudi japo mchangie hata mifuko 50 tu ya simenti (can be in monetary term) hiyo shule ulisoma na wakati huo ilikuwa ni mchanga chini.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 01, 2006

    hii kitu inanifurahisha sana na kunipa moyo ya kuendeleza elimu bongo.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 02, 2006

    michuzi acha kudanganya umma, hii ni shule gani pale manzese?

    ReplyDelete
  5. kingu, nidanganye nipate nini ambacho sina? kama upo dar njoo nikupeleke. halafu watu wenye kujifanya wakosoaji kama nyinyi mmeanza kuniboa kama watukanaji. na hapo silipwi, je mngekuwa mnanipa ujira ingekuaje? acheni hizo waswahili, ah! mnakera na kuchefua!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 02, 2006

    Asante sana kaka MICHUZI. Nami nashangaa sana hii mijitu inayokuja kutoka hukooooooooo na kuanza kutukana tukana kama haina kwao!! Asante Michuzi wewe comment nyingine hata zisikupe pressure! Thanx. Rev. EVM

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...