Home
Unlabelled
darasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kitonga said...
ReplyDeletehii inaonyesha jinsi jamii inavyozingatia umuhimu wa shule kwa kizazi hiki lakini jamani shule za manzese zina madawati leo hii tunawashukuru waliojitolea.
huyo binti hapo kaanza kuigizia mapema sana ana safari ndefu halafu huyu mtaalamu yaani mwalimu yuko pembeni yake haogopi kabisa lazima amerithi hiyo tabia tukichunguza kwa undani baba yake alikuwa hivyo hivyo.
ReplyDeleteila kweli tz sasa tumepiga hatua ambayo inafurahisha sana darasa zuri kiasi hicho kweli Mungu ibariki tz...na nyie mlio ughaibuni sio kusema tu shule zimekuwa nzuri mrudi japo mchangie hata mifuko 50 tu ya simenti (can be in monetary term) hiyo shule ulisoma na wakati huo ilikuwa ni mchanga chini.
hii kitu inanifurahisha sana na kunipa moyo ya kuendeleza elimu bongo.
ReplyDeletemichuzi acha kudanganya umma, hii ni shule gani pale manzese?
ReplyDeletekingu, nidanganye nipate nini ambacho sina? kama upo dar njoo nikupeleke. halafu watu wenye kujifanya wakosoaji kama nyinyi mmeanza kuniboa kama watukanaji. na hapo silipwi, je mngekuwa mnanipa ujira ingekuaje? acheni hizo waswahili, ah! mnakera na kuchefua!!!
ReplyDeleteAsante sana kaka MICHUZI. Nami nashangaa sana hii mijitu inayokuja kutoka hukooooooooo na kuanza kutukana tukana kama haina kwao!! Asante Michuzi wewe comment nyingine hata zisikupe pressure! Thanx. Rev. EVM
ReplyDelete