mlio ughaiubuni msihofu kuja kuoa ama kuolewea hom. tuna uwezo wa kuandaa sherehe aina yoyote ile - toka ya mkeka hadi ya kukata na shoka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 01, 2006

    zinaagizwa toka South!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 01, 2006

    ni kweli michuzi lakini pia katika hali ya kuwa umeloose alot of friends while ure in abroad we'll not be so sure.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 01, 2006

    hao ni wanaume wote ila mmoja kavaa gauni au?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 01, 2006

    Bwana michuzi harusi na ya nani? Maana wote ni wanaume hawa.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 02, 2006

    Harusi inatokea mara moja in life so why not spend and have once in a lifetime wedding? Kama zipo mnazikamua mpaka mwisho.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 29, 2006

    Huyo wa kwanza kushoto sio Isaac Kassanga? nasikia kapiga dili la mamilioni kwa mawjiri wake Standard Chartered ikabidi wamnawishe mzigo na kesi juu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...