Home
Unlabelled
coco beach
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi kuna picha nyingi nimeziangalia kwa furaha lakini hii inanitia uchungu wa ajabu nashindwa kuiangalai mara mbili kila nikikumbuka yanayotokea kwenye hayo maji kila wakati.
ReplyDeleteHii ni Oysterbay Beach??/ au ndio inaitwa Coco tena.Wabongo inabidi tujifunze kucheza na maji kwani kila tunavyo ya kwepa matokeo yake tunayajua VIFO!! Inasikitisha sana.
ReplyDeleteHii sehemu inanikumbusha mbali sana kipindi hicho ukienda siku ya j,pili utawaona mabishoo na magari yao yakitwanga muziki na mademu wakijipitisha kama hawana akili nzuri kwa mabishoo lakini sasa hivi nimefurahishwa na vijana wengi kuingia kwenye fani za kutafuta wenyewe sio kuwategemea wazazi kwa pesa walizokuwa nazo ok niggas lets make money
ReplyDeleteKitonga..said
Ni afadhali mara mia mtu aende hapa na familia badala ya kushinda sikukuu kwenye vikontena!
ReplyDeletekuna wazungu huko? maana wao wakiangaza kufika maeneo hayo mtaona sharks! wanapenda hao ndugu zetu
ReplyDelete