Home
Unlabelled
jk kigoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa kweli zemarcopolo unanifurahisha kwa jinsi ulivyo sharp kutoa comment zenye hoja! Subiri nikiwa RAIS mimi nitakufanya uwe kingunge wangu (Mshauri wa mambo ya kisiasa).... Revd. EVM
ReplyDeleteJk kweli anaonekana kamanda chief wa Tanzania,sasa ni wakati wa rais kuendeleza uzi wake wa kasi mpya,nguvu mpya na ari mpya nakutakia mafanikio mema kwenye uongozi wako chief.
ReplyDeleteKitonga...said
JK mwezi wa nne huu ofisini tuko nyuma yako, tunataka kuona vigogo wakitambaa kifudifudi bado hatujaona mavitu makali baba.vigogo tunawajua bado wanatamba na kula whisky kama kawaida.jamjuah
ReplyDeleteJk kuna sehemu nyingi bado zinatakiwa kuangaliwa vijana wanalia ajira kuna ofisi tena za serikali na mashirika ya umma. kama watendaji wake wamesoma nafikiri hawakuelimika. Fikiria shirika kama tanesco, naomaba uwaulize Engineer wa mwisho aliajiliwa lini. Je umeme hauuziki. Ni proposal ngapi za kuendeleza tanesco wamefanya. naomba mashirika kama hayo ilituendane na kasi yako wazee wapumzike kwanza watafutwe vijana ambao wana ambisheni ya kushindana na ulimwengu waongoze mashirika hayo. Kuongoza shirika ni utaalamu siyo siasa jamani we need creative people. Watu wawe wanatoa summary ya mwaka amefanya nini kwa mwaka mzima na ametumia nini. Vinginevyo hatutafika
ReplyDelete