huyu ndiye mfanyabiashara maarufu jijini aitwaye joni feza. yeye anaendesha bar na hoteli ya bambuu kule kinondoni, awali alikuwa tazara klabu kisha hugo house. hapa akiserebuka na mkewe kwenye harusi ya ndugu yao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 02, 2006

    Of course kama ilivyo kawaida ya wabongo na chuki binafsi they will always find ways to say something negative kama huyo hapo juu, na wengineo watakao post hapo chini.

    Mimi binafsi nafurahi kuona picha mfanyabiashara mzawa anaye faidi matunda ya kazi yake with his other half. Nchi zote zilizoendelea zimejengwa na watu kama hawa na sio wanachuki na wakosoaji!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 02, 2006

    Watu wengine bwana! Kwenye huo ushauri chuki iko wapi? watu kama anony hapo juu ndiyo inayoamini kitambi kikubwa ndio mafanikio. Kalagabaho.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 03, 2006

    aaaah wewe anony umechemka hapo hakuna chuki yoyote hiyo nikweli mahiri. uzito sio kitu kizuri, uzito unauwa.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 03, 2006

    Jamaa anaitwa John Feza, kweli sio mchezo.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 03, 2006

    mchaga wa rombo huyo..nimekosea michuzi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...