Home
Unlabelled
joni feza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Of course kama ilivyo kawaida ya wabongo na chuki binafsi they will always find ways to say something negative kama huyo hapo juu, na wengineo watakao post hapo chini.
ReplyDeleteMimi binafsi nafurahi kuona picha mfanyabiashara mzawa anaye faidi matunda ya kazi yake with his other half. Nchi zote zilizoendelea zimejengwa na watu kama hawa na sio wanachuki na wakosoaji!
Watu wengine bwana! Kwenye huo ushauri chuki iko wapi? watu kama anony hapo juu ndiyo inayoamini kitambi kikubwa ndio mafanikio. Kalagabaho.
ReplyDeleteaaaah wewe anony umechemka hapo hakuna chuki yoyote hiyo nikweli mahiri. uzito sio kitu kizuri, uzito unauwa.
ReplyDeleteJamaa anaitwa John Feza, kweli sio mchezo.
ReplyDeletemchaga wa rombo huyo..nimekosea michuzi?
ReplyDelete