Home
Unlabelled
kenyatta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MICHUZI huyu ndia nani tena, naomba utufahamishe. Aksante!
ReplyDeletesema naomba unifahamishe siyo utufahamishe ebo! Umeshaambiwa ni Uhuru Kenyatta bado unauliza ni nani mmwe mnasoma maelezo ya Michauzi kabla ya kuuliza maswali mengine.
ReplyDeletehuyu ni mwenyekiti wa chama cha kanu kule kenya na mtoto wa kwanza wa jomo kenyatta, rais wa kwanza wa kenya
ReplyDeleteOooh! Asante sana Michuzi.
ReplyDeleteMichuzi tuwekee picha ya Vicky KAMATA nasikia ni mwanaharakati sana wa CCM.Nataka nimuone alivyo maana namsikia tu.
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteSina hakika sana lakini nafikiri mtoto wa kwanza wa Jomo Kenyatta ni Peter Kenyatta aliyezaliwa miaka ya ishirini, Uhuru nafikiri kazaliwa miaka ya sitini. Sina hakika sana lakini hebu peleleza kwa uhakika zaidi.
Pia ukiweza tuwekee picha ya Mzee Kenyatta mwenyewe, huyu jamaa kama angekuwepo hadi leo angekuwa na miaka zaidi ya mia.
Wa kwanza ni Peter aliyezaliwa na Mama wa Kiingereza.Halafu alikuwepo Peter mwingine
ReplyDeleteUhuru ni mvulana wa kwanza kwa Mama Ngina
anony 8:47 asante kwa ufafanuzi yakinifu
ReplyDeletesasa michuzi kama peter kenyata alizaliwa miaka ya 20 ina maana jomo alikuwa wa 18....?
ReplyDeleteMzee Kenyatta alizaliwa 1889.
ReplyDelete