napeana tano na uhuru kenyatta dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 22, 2006

    MICHUZI huyu ndia nani tena, naomba utufahamishe. Aksante!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 22, 2006

    sema naomba unifahamishe siyo utufahamishe ebo! Umeshaambiwa ni Uhuru Kenyatta bado unauliza ni nani mmwe mnasoma maelezo ya Michauzi kabla ya kuuliza maswali mengine.

    ReplyDelete
  3. huyu ni mwenyekiti wa chama cha kanu kule kenya na mtoto wa kwanza wa jomo kenyatta, rais wa kwanza wa kenya

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 22, 2006

    Oooh! Asante sana Michuzi.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 22, 2006

    Michuzi tuwekee picha ya Vicky KAMATA nasikia ni mwanaharakati sana wa CCM.Nataka nimuone alivyo maana namsikia tu.

    ReplyDelete
  6. Michuzi,
    Sina hakika sana lakini nafikiri mtoto wa kwanza wa Jomo Kenyatta ni Peter Kenyatta aliyezaliwa miaka ya ishirini, Uhuru nafikiri kazaliwa miaka ya sitini. Sina hakika sana lakini hebu peleleza kwa uhakika zaidi.

    Pia ukiweza tuwekee picha ya Mzee Kenyatta mwenyewe, huyu jamaa kama angekuwepo hadi leo angekuwa na miaka zaidi ya mia.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 23, 2006

    Wa kwanza ni Peter aliyezaliwa na Mama wa Kiingereza.Halafu alikuwepo Peter mwingine
    Uhuru ni mvulana wa kwanza kwa Mama Ngina

    ReplyDelete
  8. anony 8:47 asante kwa ufafanuzi yakinifu

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 23, 2006

    sasa michuzi kama peter kenyata alizaliwa miaka ya 20 ina maana jomo alikuwa wa 18....?

    ReplyDelete
  10. Mzee Kenyatta alizaliwa 1889.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...