kepy kiombile sio tu ni mpiga gitaa la bezi mkongwe akiwa na kilimanjaro band 'wananjenje', bali pia ni mhandisi bingwa wa sauti kiasi ambacho tamasha lolote ambalo ni tamasha akikosekana basi aidha hayupo nchini ama anaumwa. hapa ni wakati wa sauti za busara zenj

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2006

    Sasa mbona sijaona kati ya maproducer 3000 waliopo Dar kama kuna mwenye mixer kama hiyo? Naomba utuonyeshe speakers na vyombo vingine vinavyoisupport.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...