mshikaji akila kijua nje ya hom huko ngorongoro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2006

    kweli bado tuko mbali

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 05, 2006

    Something has to be done. Huyu ni cave man au ni binadamu wa karne ya 21? Karne ya 21 watu bado wanaishi kwenye nyumba ya namna hii, halafu Waziri mkuu ambaye ni mbunge wao anadai amewaletea maendeleo makubwa kwa kipindi chote alichokuwa mbunge wao! Hatuwezi kumgawia kila mtu pesa, lakini je kuna jitihada zinafanyika kuwaondoa hawa watu katika lindi hili la ufukara?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 06, 2006

    nani kasema huyu ni fukara?
    utakuta ana ngombe 100 zaidi,haya ndio maisha yake.
    kuna mswahili anakaa kariakoo chumba cha kupanga anauza mkaa, sasa hapo nani fukara? jamjuah

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 06, 2006

    Sasa kuwa na ng'ombe 100 halafu unakaa kwenye nyumba kama hiyo ndio utajiri? Nyumba hata dirisha haina utategemeaje wakai wake wawe na afya njema? Acha hizo kaka, na hapo ndipo kinatakiwa kitu kifanyike, kuwawezesha kutumia hao ng'ombe kujijengea maisha mazuri siyo kubaki kuwatizama tu na kujidai matajiri.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 09, 2006

    Haki ya nani huyu hata kama ana ngombe milion bado ni fukara wa kutupwa. Hao ngombe wanamsaidiaje sasa kama bado anaishi kwenye hilo shimo. Bado tuna kazi kubwa ya kuwaelimisha watu kama hawa vinginevyo tutakuwa bado tunapiga hatua moja mbele tatu nyuma.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 09, 2006

    Ameeen! Bwana Grill

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 15, 2006

    Kamungu unamfanya nini Fikiri?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...