kama kuna kitu kinachonokisha niingiapo kanisani basi hakuna kama kinanda ambacho mpigaji hutumia miguu na mikono yote miwili macho yote mawili na bila shaka na akili zote (ngapi sijui) na hakosei

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 04, 2006

    MICHUZI,HAPO VINATUMIKA VITU VYOTE MWILINI!UTAPOKWENDA TENA CHUNGUZA.UKITAKA UGOMVI NA HUYO BWANA WE NYOFOA HILO DAFTARI LA WIMBO(HASA UKIWA NI WIMBO MPYA)HAKIKISHA KITUO CHA POLISI KI KARIBU!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 04, 2006

    Yaani Michuzi we ni kama mimi tu. Hak'ya nani mtu aliyegungua kinanda alikuwa jiniazi

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 04, 2006

    Wanaojua kupiga hiko chombo Mungu amewajaalia sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...