siku moja moja huwa tunakaa pamoja, hasa tupatapo mwaliko kama huu wa multi choce pale holiday inn. toka shoto mike mande wa the east african, mie, joster ramadhani (mwananchi), rashid kejo na bloga mwenzetu absolom kibanda

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 02, 2006

    Hapa ukiangalia miili na afya kwa muonekano utaona fanii ya uandhi wa habari ni nzuri kumbe wote hapa mnakula matundda ya kuwa wajanja mjini ila press ni kimeo.....wangekuwepo waandishi hasa hapa ungeona walivyo wachafu waroho na wasio na aibu....
    Hongereni wadau

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 02, 2006

    Zemarcopolo mbona hiyo bogger yako i tupu? Siuiondoe basi!!! Jmeno

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 03, 2006

    Michuzi

    Tafadhani nipatie hiyo blogu ya Kibanda au email yake. Namtafuta siku nyingi. Alinifundisha Historia nikiwa sekondari. Asante

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 05, 2006

    Michuzi mbona naona kama unakula Mbuzi katoliki?

    ReplyDelete
  5. Aise Michuzi umecheza kama Pele, hii picha imenikutanisha na Best Student wangu yuko NY. Si unaona mambo ya kublogu! Picha poa nasi yafaa tujipige siku moja moja

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...