
wazazi wengi wameitikia wito wa kupeleka watotot wao shule, hata kama ni walemavu. hawa wawili wako darasa la pili shule ya msingi lion magomeni na wanadhaminiwa na hospitali ya ccbrt ambayo inamuajili dada (mwenye nyekundu) anayewahudumia wawapo shuleni na kuwatengenezea madawati na viti maalum na pia baiskeli
inatia moyo sana
ReplyDeletenakubaliana na wewe anony hapo juu. Tunatakiwa tuwa support walemavu.
ReplyDeletetena kwa hali na mali.
ReplyDeleteHii sera iendelezwe mikoa yote!
ReplyDelete