Home
Unlabelled
lifti ya kili II
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwani hao wapambe nuksi ilikuwa ni lazima waingie nae kwa pamoja?
ReplyDeleteWale waishio nje ya Tanzania,Did you guyz got an email toka kwa Mabarozi wenu wakiomba mchango wa pesa kwa ajili ya matatizo ya chakula nyumbani? Hapa U.S tumeletewa email; kuchangia pesa ambazo Rais Kikwete atapewa kusaidia the shortage ya chakula nyumbani.
ReplyDeleteHalafu na nyie mtatoa hizo pesa? Nawapa ushauri wa bure kama mnazo tafadhali watumieni ndugu zenu ambao nina uhakika wala hawawezi kuwaacha jirani zao wakifa njaa watashea nao tu. Yaani m-wachangie hao mabalozi wanao nunua majengo hewa huko ughaibuni? Mtafahamu ni kiasi gani zimechangwa? Vinginevyo kama ninyi ni wazalendo kondoo toeni hizo pesa zikaishie kuporomosha majengo Masaki na kupeleka watoto wao huko ughaibuni.
ReplyDelete