Home
Unlabelled
lifti ya kili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ben alizidi uzito
ReplyDeletemimi nilidhani kuwa rais ni kuwa so busy kumbe inaelekea soi hivyo maana mpaka rais anapata muda wa kufanya ziara ya hoteli!au hii ilikuwa ni wakati akiwa likizo?
ReplyDeleteIla na sisi Watanzania tumezidi ujumbe wa raisi unakuwa na watu wengi mno.Sasa umati wote huo siku hiyo hawakufanya kazi yeyote ya uzalishaji zaidi ya kwenda kufungua hotel. Kwa mwendo huu tutaendelea kupiga hatua moja mbele mbili nyuma.
ReplyDeleteTanzania bado tunasherehekea uhuru wa 1961!!!!!! Miradi midogo midogo kila mtu anataka awepo wakati wa ufunguzi. Hii kazi za kufungua hoteli na madaraja ni za mawaziri tu. Ila kwa kuwa investor anataka aanze na high profile na free publicity kwa nini asipate msaada wa waziri mkuu au raisi kama inawezekana. Africa haitajengwa na wanasiasa, we should know it by now....wao wapo dunia nyingine kabisa.
ReplyDelete