Home
Unlabelled
lindi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Michuzi,
ReplyDeleteKazi kweli umenifanya nijisike nyumbani leo ,mimi ni yule anon toka lindi . Namwona mbunge wangu bwana Silipi Deni na zaidi naona uwanja wetu wa ILULU .
Michuzi huo uwanja una historia kubwa sana katika mambo ya uzalendo waulize simba na yanga . Ni uwanja pekee ambao simba na yanga siku zote walipofika hapo hawakuwa na washabiki kabisa ! Na mtu ukishangilia simba au yanga uwanja wote unakuzomea,Marefa wote kabla ya mechi walipewaa dhifa ya jiji kule kwa mkuu wa mkoa na baadaya ya hapo matokeo yake watu waliyaona !
Michuzi asante sana yu avu medi mayi deyi , kwani nilichoka hiki kitu Dar dar tuu azi ifu tanzania hazi onli wani mkoa !
Michuzi ningefurahi sana kama ungeniweka picha za mikindani na litingi.
Kazi kweli kweli mara Tanga, mara Lindi Dah tabu kweli kutumikia bwana wawili, Jimbo na Mkoa. Inabidi sasa tulioko huku turudi kusaidia majukumu mengine au vipi Kaka Michuzi.
ReplyDeletemikindani na litigi sijafika karibuni, lakini ombi lako lipo kwenye datarejea, na litatekelezwa mara itapowezekana
ReplyDeletehuyu mbunge nasikia anaitwa SILIPI DENI je kuna mtu anajua chanzo cha jina hili?
ReplyDeleteAnon hapo juu , mimi kwa bahati namjua huyu bwana kwa muda mrefu kidogo , Huyu bwana ni mbunge wetu na hilo jina silipi deni speaks for itself ! Huyu bwana ana historia ya kutokulipa madeni na kuna kipindi alikuwa proud kabisa na hiyo tabia !
ReplyDeleteIla sisi watu wa ukanda wa pwani pwani ni watu tunaojua kusamehe ,na mara nyingi hatuko so embeded na maisha ya hapa duniani , kwa hiyo watu wa jiji la lindi wamemsamehe na kusema ukweli
tunampenda mbunge wetu despite tabia yake ya kutokulipa madeni.
sawa anony nimekupata.aisee tabia ya watu wa lindi nzuri sana.inabidi nikatafute kazi huko nikirudi bongo.
ReplyDeleteKwani ni madeni gani aliyokuwa akikopa feza au? na kwa nani hasa kwenye mashirika au?
ReplyDeleteitakuwa kwa wenye vihela mbuzi wenzake.
ReplyDelete