khadija mwanamboka akila pozi na watoto walioshiriki kwenye onesho lake la mavazi ya watoto pale coco beach jumapili ilopita

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 12, 2006

    kwa nini tunapoteza wakati wa hawa watoto kwa vitu visivyo na maana kama hivi. Maonyesho ya mavazi, urembo?! These kids need better schools,(education). Hatuna shule nzuri kwa watoto wetu, hatuna chakula? hatuna maji? umeme, wala barabara nzuri? Let us focus on better things for the future of our kids jamani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...