Home
Unlabelled
wapi hapa?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
k'nyama makumbusho area
ReplyDeletemillenium tower hiyo
ReplyDeleteKulikuwa na bustani za mchicha! teh teh ha ha ha
ReplyDeletehapa ni kabul afganistani itakuwa, si unaona vumbi ilo.
ReplyDeleteHapo opposite yake kuna BREAK POINT, sijui bado ipo inavuma vile vile. Tulikuwa tunapata ugali wa Mhogo na Nyama pori hapo. Siku hizi bado break point kuna nyama pori au imeshakufa maana Bar za bongo zinavuma zikiwa mpya tu.
ReplyDeleteBreak Point bando inadunda usisahau Makange kuku, Brenda Fassie "sato" na kadhalika, sema sasa hivi mambo ya samaki sangara na sato kidogo Kimeo kwa kuwa wasafirishaji nasikia baadhi wanatumia dawa za maiti ili samaki hao wasioze mapema si unajua tena magari yale yanayosafirisha COOLING SYSTEM kidogo tabu tabu.. .Bongo hiyo!
ReplyDeleteHapa ni karibu sana na home.
ReplyDeleteNilikuwa nakuja hapo kwenye internet kucheki e-mail na kuangalia mavituz nilipokuwa bongo.
Jamani bongo mbona inabadilika hivi? Hata kijitonyama kuna magorofa ya kisasa.
ReplyDelete