odemba si mbongo pekee anayetamba kwenye mitindo. hebu cheki na dada cynthia masasa hapo juu akionesha vazi la ufukweni. ama mtembelee www.cynthiamasasi.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 102 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 08, 2006

    Ongera mwanangu

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 08, 2006

    makubwa haya!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 08, 2006

    huyu ni kiboko, vipi msukuma ama mkerewe,kama siyo mjita.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 08, 2006

    katika website yake nimeona kaandika race:black decent,kuna anayeweza kunisaidia hii inamaanisha nini?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 08, 2006

    web yake iko bomba anapenda wanugu huyu wanammaliza tu na mabling yao

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 08, 2006

    puff dady anakojoa hapa,,atakuja naye bongo hii june,kupromoti bongo flava na miduara.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 08, 2006

    Huyu binti anajitahidi HONGERA zake. She is creative. Keep it up

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 08, 2006

    anony juu umeandika nini?

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 09, 2006

    jamani kuna anayejua maana ya black decent race???????

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 09, 2006

    michuzi inabidi uweke passowrd humu maana matusi yamezidi.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 09, 2006

    sem nitajuaje aliyeandika hapo juu si wewe hata kama ungekuwa umeandika jina instead of anony?

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 09, 2006

    HUYU DADA NI WA KUMUONEA HURUMA KUTOKANA NA SABABU NYINGI TU, MOJAWAPO NI:

    1. KWA MISINGI YETU YA KITANZANIA AU KIAFRIKA SIO VIZURI KWA MWANAMKE KUWA UCHI NAMNA HIYO.

    2: KIDINI INAKATAZWA (DINI ZOTE).

    3: ANAWAKILISHA NINI TAIFA LA TANZANIA.

    4: WATOTO AU WATOTO WAKE ANAWAFUNZA NINI.

    MAISHA YANAWEZA KUWA MAGUMU LAKINI SIO SABABU YA KUZARAULISHA TAIFA, WAZAZI WAKE ATA NDUGU ZAKE KWA KUKAA NUSU UCHI ILI AWEZE KUPEWA PESA.

    INATIA URUMA NA KUSIKITISHA HII NA NI MMOJA ALIYE JIWEKA WAZI WAPO WENGI TU WANAO TENGENEZA MPAKA VIDEO ZA NGONO AU KUJIUZA KWA SABABU YA PESA.

    KWELI PESA NI MBAYA NA INAUA AU YAWEZA KUKUPELEKA KUBAYA.

    NI BORA KUWA MKULIMA KULIKO KUKAA UCHI NAMNA HIVI.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 09, 2006

    Wewe anony wa hapo juu haupo dunia hii ya model, pole sana bado upo mwaka 47. sio tatizo lako lakini ni mazingira yamekuathiri inabidi tufunge kukuombea uli uweze angalau kwenda na wakati.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 09, 2006

    Huyu dada ana sifa sana ya kuendekeza ufuska. Aliishi Dallas na kuchanganya wanaume kama kazi. Alikimbia Dallas baada ya kaka yake (Mbelwa) kuua m-Tanzania mwenzie kwa kumchoma kisu. Inaaminika kuwa huyu dada sasa anaishi Atlanta, lakini kaka yake bado yuko mafichoni. Wao ni majirani wangu wa Mwanza, Mama Mhaya, Baba hajulikani.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 09, 2006

    HAYA MUANGALIENI DADA YENU KTK HII VIDEO YUPO NUSU UCHI AKICHEZA CHEZA NA KUNA NYINGINE HAUWEZI KUWEKA HAPA NDIO YUPO UCHI KABISA.

    YAANI NI HAIBU TUPU NA ANAWA WAKILISHA WATANZANIA.

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 09, 2006

    Michuzi kuna tofauti kubwa kati ya model na video hoochie, sasa kwa taarifa yako fupi huyu ni video hoochie na sio model. Huwezi kumfaninisha huyu na Tausi L hata akina Tyra nk nk. Vitu wanavofanya mpaka kuwekwa kwenye hizo video ni vingi sana I can go forever trying to explain here. Ila hana thamani yeyote tena ni mambo ya aibu, model apose kama model basi na afanya mambo yanayoendana na ki-model. Ila hoochie ni hoochie tu hawezi kuwa model. Aibu kubwa kwa wazazi wake na taifa kwa ujumla.

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 10, 2006

    kweli kabisa Ndesanjo hapo umesema kweli kabisa haya ni mambo ya aibu sana kila mara yuko kwenye video hoochie.

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 10, 2006

    michuzi wewe humjui huyu malaya siyo mwana mitindo kama ulivyosema. Ukimuweka kwenye hilo kundi utafanya wazazi wa bongo waanze tena kuwakataza watoto wao kuingia kwenye u-model.

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 10, 2006

    pesa zinatafutwa kwa namna yoyote ile, mwacheni mtoto wa watu, mbona Nancy Sumari akioneshwa kavaa vazi la ufukweni mnamfagilia???
    Wacheni wivu au kwa sababu huyu yuko Majuu tu?

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 10, 2006

    Mimi sioni sababu kubwa ya kumuona huyu dada kama hafai unajua pesa ni ngumu sina uhakika na background yake lakini tunaweza tukawa tunamuona hafai hila ikawa kuwa ni darasa la saba( au form four) kabahatika kwenda huko ujanja ujanja kapenya kapata hao mnahita sijui model au sijui video h... pesa ni pesa kama haji ubungo kumnyonga mtu mimi naona hakuna tatizo kama atakuja bongo akatesa kweli ila tusijue huko anafanya nini. Dada tesa tu ukija bongo zuga tusijue unafanya nini waite watu jitangaze kuwa wewe ni model tutashangilia tu na kuomba wengine waige. Usiseme katu huyafanyayo mpaka ukawa hivyo tutakucheka.

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 10, 2006

    MALAYA NI MALAYA TU IWE NANCY AU HUYU MALAYA WOTE NI WALE WALE.

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 10, 2006

    mtasema mtachoka mwenzenu ni model,watu mnawivu kama nini ninauhakika hakuna mtu hata mmoja humu anayemjua cynthia..mama yeke ni msukuma,marehemu baba yake ni mganda na baba yake wa kambo ni meya wa mwanza.kazi kwenu ni model wa kimataifa mlie tuu kucheka mna mbavu hahahaaaaa.

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 10, 2006

    ata kama baba yake angekuwa Rais, Waziri mkuu, Waziri, Mbunge, malaya ni malaya tu. mwisho wa majibishano. Kuwa meya ndio kuficha dhambi zake????????

    Unajifanya unamjua siyo? Nenda zako unae fuga malaya weye.

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 10, 2006

    Huyu ni msenge anasema model siyo. Model anae kaa uchi na kutengeneza filamu za uchi. njoo na wewe ukae uchi nikupe pesa kama una weka wazi kuwa kukaa uchi ni sio dhambi.

    Fala mkubwa weye ndio unawafunza watu wawe malaya.hili jike ni malaya tu ns wewe unae muunga mkono ni malaya.

    ReplyDelete
  25. AnonymousMay 10, 2006

    malaya anaweza kuwa mama zenu nyinyi mnao ongea ovyo kwani wapi kakaa uchi?acheni unafiki waswahili,mimi namuunga mkono yeyote anayesema ni model kwani kina tyra,naomi hawavai nguo za ufukweni??acheni uchawi mnawanga hata mchana.

    ReplyDelete
  26. AnonymousMay 10, 2006

    watanzania wanajitahidi hongera nancy,cynthia,miriam odemba wote wanaofanya umodel mimi nawasapoti kwani wana sura na miili ya kuvaa nguo za ufukweni.wangekuwa na vitambi wasingeweza kuitwa mamodel hongera zao msisikilize maneno ya watu kuongea wataongea tuu.

    ReplyDelete
  27. AnonymousMay 10, 2006

    Ebwana uliyetupa kipande cha clip hebu tupe clip hiyo unayosema ni ya uchi kabisa tushuhudie usiwe unajua peke yako tu.

    ReplyDelete
  28. AnonymousMay 10, 2006

    cynthia hafanyi video za uchi waswahili wanataka kumchafulia jina kama kweli amefanya hizo picha za uchi hebu tuwekee hiyo picha au video,acheni mambo ya majungu kama dada,shangazi,mama zenu hawawezi kuwa mamodel msianze kumsingizia mtoto wa watu eti oooh alikuwa malaya oooh sijui nini..kalala na nani mnaomjua nyinyi?wanafiki wakubwa nyinyi wivu tuu.

    ReplyDelete
  29. AnonymousMay 11, 2006

    Ni kweli watu wanapenda unafiki, wasisikie m2 kasema ki2 washarukia, hata hao wanaosema JK ni mhuni wana ushahidi kalala na nani? Tusipende kuchafuliana majina bila sababu

    ReplyDelete
  30. AnonymousMay 11, 2006

    ni kweli babu watu kazi yao kuharibiana majina tuu,tupeane heshima kwa katuletea sifa kubwa nchini,cynthia pamoja na nancy wapeni hongera jamani msilete unafiki..HONGERA DADA ZANGUNI.

    ReplyDelete
  31. AnonymousMay 11, 2006

    kama michuzi anakubali iwekwe hiyo ya uchi aseme na tutabandika ktk blogi yake. Eric

    ReplyDelete
  32. AnonymousMay 11, 2006

    Nyie wabongo mna matatizo makubwa sana. Wasiwasi wangu mnaotetea kila tu ni watu wa madili haramu ndio maana mnapiga kelele wivu, unafiki, kuharibiana majina na takataka kibao. Wakati Alex Massawe, Justin Nyari, Fabian nani tena wanatanua watu kama nyie wakiguswa mnasema wivu, vijiba vya roho nk. Leo hii hatuwasikii mkiwaambia polisi wanavivu, wanafiki. Waswahili walisema kusikia kwa kenge mpaka damu masikioni. Baada ya ujambazi kutikisa leo hii akiguswa mwenye pesa hatusikii kusema wanaonewa wivu.

    ReplyDelete
  33. AnonymousMay 11, 2006

    Basi wewe Eric kama unazo hizo picha za uchi si uziweke mnaongeaaa hamna lolote ni kweli mnamchafulia dada wa watu jina lake wekeni hizo picha za uchi basi hadharani wambea saana nyinyi wanafiki wakubwa,kama kweli wewe ni mwanaume wa kweli na pumbu mbili weka hizo picha..

    ninasema hivyo kwa sababu namjua huyo demu vitu anavyo fanya ni modeling sio anapiga picha za uchi yuko kwenye video na video sio za uchi,mnaona madonge kwa sababu mawish angekuwa ni dada,shangazi au mama yenu NYANG'AU NYINYI(WACHAWI WAKUBWA)nyinyi ndio ukute mmeisha chukua jina lake na kulipeleka kwa WAGANGA mkamroge mtoto wa watu,mwacheni awatese mnaonekana mnakonda saana.

    ReplyDelete
  34. AnonymousMay 11, 2006

    makubwa haya mimi sikujua, kwani wote mnataka tuwe masikini, jamani, mimi naomba kila dada yetu apewe pasport na aombewe visa inchi yoyote atakayo angalau nasi tujulikane. mnafaya mchezo, namuomba huyo dada awe hata na kabendela ka hata Bongo tu awatangaze wote wanaomfagilia, wale ambao hawataki wajiandikishe hili wasiwemo katika uwakilishi.

    ReplyDelete
  35. AnonymousMay 11, 2006

    Duuu hii kiboko msimroge mtoto wa watu plz uongo mbaya katulia.

    ReplyDelete
  36. AnonymousMay 11, 2006

    Duu anony 07:41PM ana hasira huyo! Ila sikujua kuwa akiwa na hasira hivyo huwa hawezi kuuvika nepi mdomo wake!

    ReplyDelete
  37. AnonymousMay 11, 2006

    we msenge nini hiyo picha aliyopiga tu yupo uchi una taka uchi wa aina gani? acha usenge we huyu tunamjua huku kiwanja mkwanja wako tu umekula mambo na si mkubwa wala nini wa madafu tu. malaya kinoma

    ReplyDelete
  38. AnonymousMay 11, 2006

    kama jamaa alivyokuambia hapo juu wewe anony 5:47am utachanganyikiwa kwa wivu na madonge,msenge unaweza kuwa wewe kwa sababu baba yako alikuwa anamfira mama yako wakati uko tumboni(mbwa koko wewe)kazi kuanza kuongelea watu na kutukana watu ambao huwajui,malaya alikutombea babako??kwa nini mama yako asimindi basi??kuma mbuyu wee acha usenge,wewe ni jamaa senge..

    ReplyDelete
  39. AnonymousMay 11, 2006

    watanzania tunaweza kuacha umbea hata kupunguza plz..watu wambea humu ndani mpaka inatisha.

    ReplyDelete
  40. AnonymousMay 11, 2006

    Mie nina wasiwasi mnaomwandama huyu dada inawezekana mlimtaka akawatolea nje. Pelekeni wivu wenu kule. Leteni ushahidi wa umalaya wake na picha za uchi alizopiga vinginevyo bado tutaendelea kumpongeza na kumtumia bendera ya TZ awe anaipeperusha kwenye shughuli zake.

    ReplyDelete
  41. AnonymousMay 11, 2006

    ahsante anony 7:13AM watuonyeshe hizo picha na ushahidi wa umalaya wake,kwa kweli binadamu wanaweza kukuharibia jina lako kabisa ukaonekama hufai..

    ReplyDelete
  42. AnonymousMay 11, 2006

    Mwenye wivu ajinyonge. Mwanadada anatisha. Kama hamkujaliwa uzuri na mafanikio kama yake hayo yenu. Msimseme mtoto wa watu.

    ReplyDelete
  43. AnonymousMay 12, 2006

    nyie mnaweza kuruhusu dada zenu wakae uchi namna hiyo? mngejisikiaje? au kama maza zenu ndio kazi zao mngesikiaje? mnajidanganya huyo binti ni muhuni tu.mwisho wa malumbano

    ReplyDelete
  44. AnonymousMay 12, 2006

    Babu wewe inaonekana una dalubini kwenye macho uchi wengine hatuuoni,inabidi utembee tembee duniani kidogo uone maisha ushamba utaisha,sio tatizo lako ni tatizo la wewe ulipo sijui kama ulikuwepo nchini wakati wa mashindano ya miss tourism world mbona vichupi vilikuwa vya kumwaga kila rangi naona ungepiga mayowe kwa kushangaa.kwa sababu huyo dada hapo juu mbona kavaa nguo mimi sioni tatizo ni mrembo na ni yuko kwenye shughuli zake za urembo.

    ReplyDelete
  45. AnonymousMay 12, 2006

    Mwambie huyu dada anajidharirisha kukaa uchi sasa huyu anaweza kuja bongo akagombea ubunge kama amina. Tayari kila mtu ameisha muona. na angalia chupi na viatu wapi na wapi ni umodel kweli au ni umalaya. Labda mimi mshamba lakini huwa naona wanaovaa hivi ni wale wa picha za x

    ReplyDelete
  46. AnonymousMay 12, 2006

    wewe ni mshamba kwa kweli picha za x hawavai hata chupi mwacheni mtoto wa watu jamani.

    ReplyDelete
  47. AnonymousMay 12, 2006

    Kwani unafikiri huko nyuma kuna kitu au kaficha tu hapo mbele. Yuko Uchi huyu. We piga ya kwako uweke hivyo tuone kama unaweza. Hapo yuko uchi.

    ReplyDelete
  48. AnonymousMay 12, 2006

    Ni kipindi muafaka kwa Tanzanina kuanzisha NGOs za kupambana na Umbea. Huyu dada anajitahidi kujishughulisha na mambo ya modeling na, badala ya kumsupport mnaanza kuleta majungu, fitina na umbea, hatutafika hivi. Fuatilieni mambo kwa kina ndio muanze kuongea ujinga wenu. Halafu wewe Anony 11:27 kuwa muangalifu wakati tunadiscuss issues, Amina kagombea ubunge jimbo gani hadi useme Cynth hawezi kugombea ubunge? keep it up Cynth, kwa kawaida hauwezi kufanikiwa bila kukutana na vikwazo kama hivi, hawa wote wanakuonea wivu na si vinginevyo. nawashauri hao wajinga wanaokuwangia na wasiokutakia mazuri waingie kwenye website yako waweze kujua zaidi unadeal na mambo gani na sio kutukana ovyo tuu. Matusi sio njia ya kumuweka mtu sawa kama unaona yupo wrong, tumieni lugha za busara.

    ReplyDelete
  49. AnonymousMay 12, 2006

    NDIO ANNOY HAPO JUU,HUYO DADA NI MALAYA MKUBWA,KWAKWELI ANATIA AIBU.ANASAPOTIWA NA MALAYA WENZIE,WOTE WANAOMSAPOTI NI MALAYA KAMA YEYE,WANATETEA KAZI YAO.WANAFEEL GUILT COZ,UKWELI UNAUMA.WOTE NYIE MALAYA TUU,HAKUNA MODELING HAPO.MODELS NI KAMA WAKINA NANCY,ODEMBA,TAUSI,ETC.ILA HUYO CYNTHIA SI MODEL,HANA TOFAUTI NA STRIPERS.NIPO MAJUU NA NINA DETAILS ZAKE ZOTE.MALAYA WENZIE WANAMSAPOTI COZ HAWAJUI ISSUE ZAKE,HUYU DADA NI MALAYA,NA ANATISHA KWA KUCHANGANYA WANAUME YANI NI MOTO WA KUOTEA MBALI.ASIPOKUWA MAKINI ATAISHIA PABAYA.NASHANGAA WATU WANAMUANDAMA MH.AMINA,MTU KAMA CYNTHIA NDO WAKUMSEMA ILA SI AMINA.MUAMINI MSIAMINI,CYNTHIA NI MALAYA.

    ReplyDelete
  50. AnonymousMay 12, 2006

    acheni chuki binafsi leteni data kuwa huyu dada ni malaya vinginevyo sisi tusiomjua tutaendelea kumuona model. Yaelekea wewe anony uliyetangulia hapo juu uliziingiza kwa huyu dada akakutolea nje, umejuaje anagawa sana wewe ndiye unakuwaga refa au?

    ReplyDelete
  51. AnonymousMay 12, 2006

    wewe anony 11:18AM tabia zenu za kikuma za kuzidi kumuharibia mwenzenu jina hazisaidii cynthia anawapiga bao huko mliko sana tuu ndio maana mnauchungu kama mjamzito anayetaka kuzaa,mmeisha sema ni malaya tuelezeni nani ambae ameisha lala nae?halafu hayo matusu yako hayasaidii mmesema oo anacheza picha za uchi ziko wapi tuwekeeni basi,sasa mmeshindwa mnaanza ni malaya analala na kila mtu hahahaa wambea mtawajua tuu inawezekana mama yako wewe anony 11:18AM ndio malaya anayetombwa na kaka yako kumanina msenge wewe koma kumtukana dada wa watu.

    ReplyDelete
  52. AnonymousMay 12, 2006

    Nimeshastukia humu kuna watu wnatetea ili waendelea kupewa niuzi juu ya huyu dada. Vyovyote iwavyo, huu u-model wake unaacha maswali mengi kuliko majibu. Hivi kuwa model ni lazima uvae vivazi hivyo wakati wote? hao akina Naomi Campbell, Kathy Ireland, Molly Sims, Nikki Tylor n,k mara zote kwenye umodel wanakuwa na vivazi hivyo? Nimeangalia mtandao wake picha zote (akiwa kazini) ni za nusu utupu, ndio kusema ili uwe model lazima mara zote uwe uchi?

    ReplyDelete
  53. AnonymousMay 13, 2006

    Hana lolote hata mkisema nini ampige nani bao? Tunaishi maisha ya raha mstraha na wala dada zetu hawauzi uchi sasa wewe kama waona hili ndio dili kivyako. Ila hapa kila mtu ana uhuru wa kusema kama kinaudhi sana nenda kamtie na wewe nyambafu.

    ReplyDelete
  54. AnonymousMay 13, 2006

    Wewe anony 1:08pm unajua maana ya uchi au unasema tu uchi kwa vile unajua kuutamka na kuuandika? kaangalie kwenye kamusi kwanza ndio uje uendelee kutupika hapa. HUYU DADA SIO MALAYA BALI NI MODEL hamtaki au?

    ReplyDelete
  55. AnonymousMay 13, 2006

    anony 2:01PM unaonekana unaugwadu sana hata sio uchungu tena tuwekee basi picha za dada zako tuwaone,manake wanaweza wakawa bomba kuliko bibi-haga kekekeeee.

    ReplyDelete
  56. AnonymousMay 13, 2006

    watu bado kidogo watajitwika vitanzi humu ndani anony 1:08PM hawezi kuvaa nguo za harusini na alikuwa kwenye ndondi za kimataifa kama mshika bango sijui kama unaangalia ndondi za kimataifa,na mbona picha nyingi tuu amevaa nguo ndefu kwa kweli kama anony 2:30PM alivyosema vitanzi viko mbione na wewe anony 2:01PM dada zako tuna hamu nao sana tuwaone humu kwa michuzi mi nafikiri Bi-haga cha mtoto labda Bi-mkora.

    ReplyDelete
  57. AnonymousMay 13, 2006

    JAMANI UKWELI NI KWAMBA KUVAA CHUPI SIO KUKAA UCHI KATIKA MAANA YA UCHI.HISTORIA YA NGU ILIANZA KWA KOSA LA KWANZA LA ADAMU NA EVA,BAADA YA YALIYOJILI WALIFUNIKA TUPU ZAO(NYUCHI)
    KATIKA MWILI WA BINADAMU(KIMAADILI)VIONGO VYA UZAZI NDIO VINAJULIKANA KUWA UCHI.
    HIVYO TUMUACHE DADA WA WATU,KAMA KUNA MABAYA ANAFANYA NA UNAYAJUA,MWELEZE YEYE BINAFSI AU WATU ANAOWAHESHIMU ILI WAMSHAURI AJIREKEBISHE.NDANI YA BLOGU SIO MAHALI PA KUSEMA MBOVU KWA KIGEZO CHA UHURU WA KUSEMA!UHURU WA KUSEMA VITU AMBAVYO NI LOJIKI NA VYENYE MANTIKI.TUSIHARIBU MAJINA YA WATU KWA KUPITI BLOGU ZA WATU.

    ReplyDelete
  58. AnonymousMay 14, 2006

    AHSANTE ANONY 8:58AM

    ReplyDelete
  59. AnonymousMay 15, 2006

    SIKILIZA MTOTO JAZBA LA NINI??WEWE UNAFANYA KAZI GANI?NA HAKUNA MTU ANTAKA KUJUA UNAFANYA KAZI GANI KWA SABABU UNGEKUWA MTU WA MAANA USINGEKUJA MA MATUSI YAKO YA AJABU AJABU,AFADHALI ANONY 12:51 MAMAKE ANA-KUMA KULIKONI WEWE ULETOKEA MKUNDUNI MWA MAMA YAKO,MSENGE BARIDI WEWE.NI KWELI HUYO DADA ANKUPIGA BAO TENA WEWEEE MWENYE WIVU,UGWADU,UCHUNGU,MKEREKETWA BABU TULOZA BOLI KWANI KUBALI YAISHE KATAA YAENDELEE BAO UNAPIGWA TENA SAANA.SIKILIZA SIKILIZA SIKILIZA NAAAA BAAAADO POLE KAMA ULIVYOAMBIWA NA ANONY 12:51 UTAZAA KABLA YA SIKU SI ZAKO OOOH MA BAAD NILIFIKIRI WEWE NI MWANAMKE HAHAHAAAAAAA.

    ReplyDelete
  60. AnonymousMay 15, 2006

    MH!WE ANONY 5:08.WAZAZI WAKO WALIFARIKI WAKATI UPO TUMBONI MWA MAMA YAKO(UKANYOFOLEWA HARAKA USIFE?)
    WEWE I.Q YAKO INA MATATIZO.NAKUOMBA MDOGO WANGU ACHA MADAWA YA KULEVYA.HIVI HUO MWILI WA HUYO DADA UNAKUHUSU NINI?ALIAZIMA YA DADA YAKO UNAOGOPA ATARUDISHA IMECHAKAA?HEBU WEKA PICHA YAKO TUIONE TUKUPE USHAURI NASIHI!
    UKITAKA KUTUKANA TENA NENDA KWENYE CHOO CHA SHIMO UKATUKANE HUMO,HII SIO BLOGU YA WALIOHARIBIWA NA MIHADARATI!

    ReplyDelete
  61. AnonymousMay 16, 2006

    mkitaka kuprove huyu dada yenu mnayemfagilia ni fala na malaya tembeleeni site yake. halafu anadai hajui kiswahili,eti ashasahau wakati ana miaka mitatu tu US na kiingereza anachoandika hapo utakimbia, ni mavi,pumba..hata dada yangu wa darasa la tano haandiki ovyo vile.EPM.

    ReplyDelete
  62. AnonymousMay 16, 2006

    wewe ndio wale wale kwanza kabisa wapi kasema mesahau kiswahili??ukitaka kujua kwamba cynthia ni professional model mtafuteni supa modo anayeitwa naomi campbell ndio mtaacha ushamba na kumuita dada wa watu malaya ingia hapa mwambie mama yako pia apige pozi hizo huyu ni staa dunia nzima ongeeni www.naomicampbell.com

    ReplyDelete
  63. AnonymousMay 16, 2006

    wewe anony 5:36PM unajua maana ya uchi wewe pimbi?kila mtu anajua hiyo site yake ni www.cynthiamasasi.com wewe kama unaona kuna uchi mule ndani acha kuangalia wazee wazima tunafurahishwa na tunamsapoti na mikono na miguu yote kwa kujitahidi na umodel anaoufanya tena nchi za watu marekani sio mchezo bwana wewe acheni utani nyie na wivu.

    ndio maana hatuwezi kuendelea kwa sababu majingu ni mengi saana katika jamii nzima ya kitanzania,na wewe anony 5:36 mshauri dada yako wa darasa la tatu ajitahidi na kizungu chake anaweza kuja kuwa zaidi ya cynthia.

    mimi binafsi huyo dada namsapoti asilimia 1000 na hata kama simfahamu nitaendelea kumsapoti tuu kwa sababu namiona ni mfano mzuri wa watanzania kujiendeleza kiurembo.

    ReplyDelete
  64. AnonymousMay 16, 2006

    Lakini kama anasema ameisha sahau kiswahili mimi sitamfagilia. Make kuna watu wamekaa sehemu mbalimbali za dunia miaka mingi lakini hawasahau kwao. Ukishasikia mtu kasema hivyo/kama kasema hivyo basi nina wasiwasi naye na nitajitoa kwa baadhi ya watu na kufikiria mawazo ya wengine.

    ReplyDelete
  65. AnonymousMay 16, 2006

    anony 11:37PM usimsikilize huyo msenge msenge,hajasahau kiswahili wala nini jamaa hata hamjui cynthia kwanza ukitaka kujua ni muongo muongo cynthia kaondoka hapa bongo zaidi ya miaka saba na anaongea kiswahili wala hajifanya kama watu wengine.

    kama hajui kiswahili hao waandishi wa habari aliongea nao vipi?yuko kwenye gazeti la mwananchi kaongea kishwahili tena fasaha ukitaka kujua watu wambea ndio kama hao,watu wangapi wako huko nchi za mbali miaka zaidi hata ya 30 na kiswahili hata kiruga bado wanaongea.

    wambea wamuache dada wa watu kwenye tovuti yake ameandika kizungu na kiswahili,wanafiki ntakufa na wivu.

    CYNTHIA HONGERA SANA DADA KAZA BUTI WASHABIKI TUPO NA WEWE,WACHAWI NDIO WANAWANGA MCHANA.

    ReplyDelete
  66. AnonymousMay 16, 2006

    cynthia anaongea kiswahili tena cha haja tuu,acheni ushankupe kuharibia watu majina eti hajui kiswahili.

    ReplyDelete
  67. AnonymousMay 16, 2006

    Mimi ndio nimeandika 11:37PM sasa namfagilia wawawa!!!!!!!!!!!!!!!.

    Adumu kabisa kabisaaaaaa!!!!!! Na wano msumbua wasogee mbali naye mtoto wa kitanzania. Anakuja lini Tanzania, make mimi nitampokea Airport kwa shangwe.

    ReplyDelete
  68. AnonymousMay 16, 2006

    "MUNGU AKUBARIKI KWA KUJIRUDI NA KUWA MTOTO MWEMA NA KUACHA MATUSI,UENDE KWA AMANI NA USITUKANE TENA;KWA JINA LA BABA,NA LA MWANA NA LA ROHO MTAKATIFU,......AMINA..........
    KWA MALIPIZI KWA KUTAMKA MATUSI KWENYE BLOGU NZURI YA MICHUZI NA KUMTUKANA DADA CYNTHIA BILA SABABU,KASALI SALA YA KUMFUKUZA SHETANI MARA ISHIRINI."

    ReplyDelete
  69. AnonymousMay 16, 2006

    Mimi naona kuna watu wanapokuwa wanasoma hii blusi ya michuzi huwa wengine wamechanganyikiwa na kuandika tu ili mradi. Angalia huyo no.11.37 na 7.47AM na majibu 9.47Am sioni ushirikiano. Labda mimi sielewi.

    ReplyDelete
  70. AnonymousMay 16, 2006

    Masikini Cynthia Mungu amsaidie apate hiyo hela manake mmmh

    ReplyDelete
  71. AnonymousMay 16, 2006

    CYNTHIA INABIDI APEWE BENDERA YA TANZANIA LINI ANAKUJA BONGOO TUNAMSUBIRI KWA HAMU SAANA..

    ReplyDelete
  72. AnonymousMay 17, 2006

    Apewe bendera wakati yuko uchi wewe unaumwa nini? Mwambie avae kwanza bendera ina eshima zake bwana. ataiweka wapi?

    ReplyDelete
  73. AnonymousMay 17, 2006

    Mbona uchi unauona wewe tu?Basi atajifunika hiyohiyo bendera.Jamani hakuna uchi hapo!

    ReplyDelete
  74. AnonymousMay 17, 2006

    Bendera ya taifa ndio afunikie uchi achani utani na bendera ya taifa.

    ReplyDelete
  75. AnonymousMay 18, 2006

    YAANI NI KAAAAAAAAAAAZI KWELIKWELI JAMANI. HIZI COMMENTS MMH!!!!

    ReplyDelete
  76. AnonymousMay 18, 2006

    ANONY 4:26 NA 7:01,UNA JAZBA NA DADA WA WATU,ALIKUTOLEA NJE NINI?LAKINI HATA KAMA YUPO UCHI SI UCHI WAKE?AU AMEAZIMA KWA DADA YAKO UNAOGOPA AKIURUDISHA UTAKUWA UMECHAKAA?ACHA MTIMANYONGO BWANA!

    ReplyDelete
  77. AnonymousMay 18, 2006

    BENDERA ATAPEWA TUU KWANI HAKUNA MODO ALIYEISHA FANYA MAMBO YA MAANA DADA YETU ANAYOYAFANYA,JE AKIPEWA BENDERA WEWE ANONY 4:26 NA 7:01 MTAFANYA NINI,KAMA SIO KUTAKA KUMMEZA KABISA MISS CYNTHIA.

    ReplyDelete
  78. AnonymousMay 18, 2006

    anony 8:37PM umenimaliza mbavu teteteeeeeee ni kweli watu wana wasi wasi na hilo swala la uchi wa cynthia,wakati wangine hatuuoni jamaa labda ana dalubini.

    ReplyDelete
  79. AnonymousMay 19, 2006

    Watu wengine bwana eti kanitolea nje mimi hata siwezi kabisa kabisaaaaaaa hata kutupa neno kwa huyu sijui nani. mimi mwenyewe bei mbaya huyu nikitoka naye atalinga sana. Siku moja aje hapa bongo nimpeleke viwanja nione kama hatachemsha mimi nasema aje bongo kama hajarudi nyumbani kulala. Watu wengine bwana kakutolea nde!!!!!!!!1nya.

    ReplyDelete
  80. AnonymousMay 19, 2006

    ANONY 12:35 AM umenifurahisha sana.

    ReplyDelete
  81. AnonymousMay 19, 2006

    CYNTHIA,PETA MWAKWETU!
    WE ULIYESHUPALIA UCHU TUONYESHE TUUONE WOTE SIO UNALALAMIKA PEKE YAKO.
    SISTER,KEEP IT UP!

    ReplyDelete
  82. AnonymousMay 19, 2006

    jamani Amina katoka na huyu dada anaelekea kutoka naomba michuzi amurudishe tu bwana nitammisi mie we achatu.

    ReplyDelete
  83. AnonymousMay 19, 2006

    Michuzi toa na hii picha ya huyu CD anatia aibu blog ya watu wa heshima hii.

    ReplyDelete
  84. AnonymousMay 19, 2006

    CD kwani alikuwa anajiuza na mama yako anony 11:32 maza designi kamaindi demu kachukua soko lote teteteee.

    ReplyDelete
  85. AnonymousMay 19, 2006

    Ndio anoy 12;36 embu lieleze hilo limbukeni,mana halina kazi ya kufanya,mijitu mingine bwana.Kazi kufwatilia maisha ya watu tuu.Ndo mana inaishia kufa maskini.

    ReplyDelete
  86. AnonymousMay 20, 2006

    anony 1:57 nakuunga mkono.

    ReplyDelete
  87. AnonymousMay 21, 2006

    SIJUI NANI ATUFUNGIE HUU MJADALA,NAONA MICHUZI AMEMWAGA AGENDA KIBAO!
    CYNTHIA APUMZIKE KWA AMANI,AMEN!

    ReplyDelete
  88. AnonymousMay 23, 2006

    Hivi nyie mnapoteza muda mkizozana na kumzona binti huyu...awe malaya awe model sio model tatizo lenu nini??kama kaamua tafuta pesa kwa njia hiyo na nyie hamuwezi mbona mtabaki hivyo hivyo tu...isitoshe kama anatengeneza pesa na karidhika nyie mtabaki umia na ukweli ni kwamba wengi wenu hamwezi kucompare bank balance zenu na zake.....hebu nendeni nursing homes mkatengeneze $ badala ya kuzoza msiyoweza au mnataka kila aliye juu aenda fanya kazi nursing home?

    ReplyDelete
  89. AnonymousMay 23, 2006

    anony 5:25PM naomba uwaeleze hao washenzi wachawi wakubwa kuwanga mchana..

    ReplyDelete
  90. AnonymousMay 24, 2006

    Asante anoy 9:41pm,yaani wameniudhi kweli hawa vikorosho.Niliyosema hapo juu ni kweli mtupu.Yaani watu wivu na kifirigisi kimewajaa wanataka kila mtu achokee huko nursing home kama wao....wala msitudanganye wengi wenu mlio nje ndo kazi inayowapa kula na kulala na kulipa macredit card yenu no wonder kiakiba cha uongo benki hamnacho.Wivu wapamba moto kuona msichana kapendeza na kula pesa kiulaini laiti nyie mnaotegemea kuteseka na migongo pinda kadiri siku zinavyoenda….aliye nacho siku zote houngezewa au mshasahau ngombe ya maskini haizai?????

    ReplyDelete
  91. AnonymousMay 24, 2006

    Sasa nimejua anony 12:50 PM ni nani,kwa nini usiandike jina angalau mara moja?Una haki ya kulinda na kujilinda kikatiba ya kiblogu!Wapambe ambao tumekupigania tangu mwanzo hatutachoka na tena bila malipo!Tunajenga blogu.
    Nakupa tano,kwani katika washindi kwa watu wenye maoni mengi nawe umo!HONGERA!

    ReplyDelete
  92. AnonymousMay 24, 2006

    Ila maneno ya anony yamenigusa!ebu please!nambie tena,wengi huko nje wanafanya nini?Naomba ufafanuzi,kuna watu wanatukoga wenzao kuwa eti wapo nje ya nchi sijui Marekani,Uingereza,Ufaransa!
    Eeenhe!´afu nsisahau,hivi lile dili la watanzania wa huko Marekani la sijui wizi wa vifaa vya kompyuta likojelikoje vile?

    ReplyDelete
  93. AnonymousMay 24, 2006

    NIMEGUNDUA,WENGI WALIOKUWA WANAMKANDIA DADA WA WATU NI WATU WALIO NJE YA TANZANIA,LIMECHIMBWA BITI LA KUWEKWA "KAZI"HADHARANI NAONA WATU SPIDI IMEPUNGUA GHAFLA,NDIO!SASA MLITAKA SINTIA ACHAFUKE TU!NA MKIMUUDHI ZAIDI YEYE AU WAPAMBE WAKE WATAWAMWAGIA SIRI ZENU KWA NOMINO ZENU!MNABISHA?

    ReplyDelete
  94. AnonymousMay 24, 2006

    Mimi huyu dada simfahamu bwana ila yamenigusa sana kuona walivyomzoza.Ukweli ni kwamba nimetembea na nimeona ……watanzania wengi sana wanafanya kazi kwenye nyumba za wazee and walemavu.Juu hamna cha brotherman /sisterdu watu wanatafuta dollar/pound….hamna cha mimi mtoto wa kibosile fulani kwanza nani anajali wewe nani?ni nyumbani tu watu kutetemekeana.Na sio siri watu wanachoka na wanavyokwambia naendesha gari aina hii…usidanganyike..wengi wao ni mikopo na makubaliano ya kulipia.Yaani madeni kila kona na hata kumiss kazi hawawezi maana mshaara kwa wenngi wao ni kwa masaa.
    Na ndo maana uwivi mwingi kuona mwenzao asoti kama wao

    ReplyDelete
  95. AnonymousMay 24, 2006

    Anoy 2:32,bado nataka kubakia anoy kwa muda.

    ReplyDelete
  96. AnonymousMay 24, 2006

    ndugu zangu dad zangu, nataka kuuza. nani anaweza junipa kuma kila siku bila kulalamika kama vile bibi yangu hufanya?kabla nimuoe tulikuwa tunafanya mapenzi kila ninapotaka lakini tulipoendelea kukaa naye kama mbwana na bibi, nikiuliza naambiwa,"kesho please nimeshoka".imenibidi nitafute malaya kujaza haja yangu ya kuma.

    ReplyDelete
  97. AnonymousMay 24, 2006

    SASA WEWE ANONY 3:13 PM,UMETOKA WAPI WEWE?WAZAZI WAKO WALIFARIKI UKIWA MDOGO UKALELEWA NA WANAKIJIJI?MARA YA MWISHO JELA UMETOKA LINI?
    NAKUSHAURI ACHA BANGI MDOGO WANGU,ITAKUPELEKA PABAYA.KAMA UNA TAKA KUTUKANA TAFUTA POLISI YEYOTE UMTUKANE!WANAPATA MSHAHARA KWA KAZI HIYO!

    ReplyDelete
  98. AnonymousMay 24, 2006

    Basi sasa jamani,naona watu watakimbia blogu yetu.Mnajua sio vizuri kuambiana ukweli,kwani ukweli unauma na unakumbusha madonda yaliyopona.Basi tuchakarike kutafuta maisha!Ila nawashauri mlio nje, piga ua kila siku,kila saa,kila dakika kumbuka TANZANIA.

    NAJUA WENGI MNAISHI HUKO UGAIBUNI KWA SABABU YA SHIDA TU,LAKINI TANZANIA NI NCHI YA OPOTYUNITI.UKIPATA VISENTI VYAKO HAKI YA MUNGU RUDI NYUMBANI,HUKO HAKUNA FYUCHA!

    POISON,UMENIELEWA DOGO?

    ReplyDelete
  99. AnonymousMay 25, 2006

    Ama kweli nimewafunga midomo vikorosho....toka nimwage ukweli halisi adharani mko hoi sio?

    ReplyDelete
  100. AnonymousMay 25, 2006

    NILIJUA TU,UNAJUA UKISOMA HIZI UJUMBE/MAONI UNAKUWA KAMA UNAAMBIWA WEWE VILE!

    ReplyDelete
  101. AnonymousMay 27, 2006

    Cynthia,nakutafutia zawadi kwani wewe kwa kiasi kikubwa umefanya blogu ya bwana Michuzi itembelewe mara kibao!Usijali yaliyosemwa humu we tafuta fweza kama huna akili nzuri.Wote walio huko wanatafuta pesa,sasa ni nani natumia njia gani hapo ni selfu sevisi!Mbona inshu ya kina-Njaidi haishikiwi bango?au walikuwa kutafuta kwa faida ya watanzania? Binadamu!

    ReplyDelete
  102. Hi!
    Jamani tembeeni muone huyu dada kaamua kupata maisha kwa njia hii aliyonayo huo wote ni UJASILIAMALI hivyo dada ni MJASILIAMALI hasa na anahitaji msaada wa kumwendeleza kama wengine mnavyoomba MIKOPO kwa vijibiashara vyenu vya kuuza Nyanya magengeni au kuchoma Chips na kuku wa soko la Tandale tena waliokufa yaani Vibudu nanyi mnatulisha hamuoni ubaya? huyu yeye anatupa fahari ya Macho na fahari ya macho ni kuona sasa kwa nini sisi tusione? au mnataka na KUONJA???? Mhh! vibaya hivyo wabongo bwana! dada tumia unasiliamali wako na Michuzi pia vuta kamba Je lini utaenda huko huko waliko hawa? mimi next year natinga huko na nitamtafuta Mjasiliamali huyu Kiboko, safari hiyo Daytona Florida siendi nakuja huko huko uliko Dada!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...