getrude k. balomi ni mmoja wa wajasiliamali wabunifu wa nguo anayekamia zaidi mavazi ya kiafrika kwa kinamama na baba, batiki na sanaa za mikono. ukija dar msake pale barabara ya kimweri mkabala na hospitali ya ccbrt

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 01, 2006

    Kiswahli kinapanuka mjasiliamali maana yake entrepreneur

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 03, 2006

    ubunifu gani kazi sio nzuri ona hilo li gauni lilivyokaa kiajabu ajabu sijapenda kazi yake na wla sijaona chochotte alichokibuni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...