Home
Unlabelled
msela
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kweli bado tuko mbali
ReplyDeleteSomething has to be done. Huyu ni cave man au ni binadamu wa karne ya 21? Karne ya 21 watu bado wanaishi kwenye nyumba ya namna hii, halafu Waziri mkuu ambaye ni mbunge wao anadai amewaletea maendeleo makubwa kwa kipindi chote alichokuwa mbunge wao! Hatuwezi kumgawia kila mtu pesa, lakini je kuna jitihada zinafanyika kuwaondoa hawa watu katika lindi hili la ufukara?
ReplyDeletenani kasema huyu ni fukara?
ReplyDeleteutakuta ana ngombe 100 zaidi,haya ndio maisha yake.
kuna mswahili anakaa kariakoo chumba cha kupanga anauza mkaa, sasa hapo nani fukara? jamjuah
Sasa kuwa na ng'ombe 100 halafu unakaa kwenye nyumba kama hiyo ndio utajiri? Nyumba hata dirisha haina utategemeaje wakai wake wawe na afya njema? Acha hizo kaka, na hapo ndipo kinatakiwa kitu kifanyike, kuwawezesha kutumia hao ng'ombe kujijengea maisha mazuri siyo kubaki kuwatizama tu na kujidai matajiri.
ReplyDeleteHaki ya nani huyu hata kama ana ngombe milion bado ni fukara wa kutupwa. Hao ngombe wanamsaidiaje sasa kama bado anaishi kwenye hilo shimo. Bado tuna kazi kubwa ya kuwaelimisha watu kama hawa vinginevyo tutakuwa bado tunapiga hatua moja mbele tatu nyuma.
ReplyDeleteAmeeen! Bwana Grill
ReplyDeleteKamungu unamfanya nini Fikiri?
ReplyDelete