mwalimu nyerere na sheikh karume na wake zao ikulu zenj

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2006

    huyo mama anae onekana upande wa kulia ni nani wajameni? kama mnamjua niambieni.

    Na Mama Maria yupo upande gani?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 06, 2006

    Mama Maria ni huyo pembeni ya Karume. Huyu 'dada' wa kwanza sijui ni nani!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 09, 2006

    nashukuru kwa kunijibu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 09, 2006

    ANGALIENI MIJITU 43 IMETOA MAONI KWA CHIFUPA LAKINI SIO VITU KAMA HIVI JINSI KUONA AKILI ZA WABONGO WENGI NI ZA STAREHE NA UMBEA TU.

    YAANI MAONI MANNE TU KWELI NI VICHEKESHO.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 10, 2006

    HAPO UKITAKA KUJUA WAREMBO WA SIKU HIZI WANABIPU WE TAZAMA VITU VYA MIAKA ILE,UTADHANI NI KESHO VILE,UNACKEKI DRESI LA MAMA KARUME?ANGALIA VICHWANI,SALUNI SIKU HIZI WANADANGANYA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...