uwanja wetu mpya wa neshno stedium uleee unachungulia tokea jukwaa kuu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 02, 2006

    JAMANI JAMANI..........JAMANIIIIIIIIIIIIIIIII...........

    Huu uwanja una kila dalili kwamba utakuja kuuwa watanzania kwa maksudi..
    kwani haiwezekani uwanja mkubwa kama huu kujengwa kwa mwaka mmoja na nusu.....JK mtatuuuwa jamani.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 02, 2006

    Huwa tunasapoti ujinga kama huu na siku tutaazimisha sherehe za miaka 2 toka kuuwawa kwa wapenzi wa soka pale uwanja mpya....!!!

    siku zote sisi tunapenda kutoa sapoti kwa vitu vibaya na vya hatari kama Mv Bukoba, kivuko cha kirosa....na sasa hiki kilichozama victoria wiki zilizopita...

    uwanja huu ni mkubwa sana na unapokea watu wengi kwa muda mmoja kitu ambacho kwa ujenzi huu wa binadamu hawa wa haraka na gharama ndogo tungoje utajasikia siku moja...

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 02, 2006

    mamamamamama Ba, nina wasiwasi sana na CIVIL Engeneering yako kama unayo!! Nani aliye kudanganya kwamba zege au chuma (any building material) ya jengo kubwa ina muda tofauti wa kugangamaa na yale material ya kujengea majengo madogo?? Ba ukitaka ushauri wa kiufundi nitafute chamber nikupe shule! Revd. EVM.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 02, 2006

    kikwete stadiamu huu, katoa mawazo na pesa yeye. heshima.

    na nyie wajenzi wa blog si mkajenge mabanda ya kuku, mbona mnabeba boksi na kufuta mavi.

    huyo anaye jenga hapo ni mjinga? mchina! pumbavu nyie!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 03, 2006

    huo uwanja unajengwa na wachina na utagharimu $57 million.utakuwa the best in east and central africa kuliko hata kasarani, kenya

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 03, 2006

    Nani anategemea kufanya ufunguzi? Tusije tukapigwa bao 7 na kuanza vibaya!

    Palipo na uwanja sasa hivi ndiyo itakuwa nini parking lot au?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 03, 2006

    anony wa kwanza natumaini hauna mdomo mchafu! wachina nawaamini. Pia sidhani kama uwanja wetu ni kama state-of-the-art kama vya europe (paa kujifunga na kufunguka, etc.). Umeme wenyewe wa kusupport uko wapi?

    Hivi CCM ilirudisha vile viwanja ilivyonyakua vya mikoani (Kirumba, Arusha, etc.)? Vyote vile vinahitaji kuwa upgraded.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 03, 2006

    wachina always wanavurunda vitu vyao kuanzia vifaa vya ujenzi(ukitafuta vifaa vya ujenzi china product always ni cheap lakini ndio expensive sababu quality mbovu kabisa) sembuse Jengo la kubeba maelfu haya mi yangu macho
    nachosikitika nina ndugu wengi wanaopenda michezo

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 05, 2006

    uko wapi sasa !!! kama Baghdad !!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 05, 2006

    Wewe nyundo& Jembe,
    Kama hujui vitu uliza siyo unaleta habari za vijiweni. Aliyetoa ahadi na pesa ni Che Nkapa na siyo Kikwete kama unavyosema hapa kwa jazba. Kikwete kakuta uwanja huu ulishaanza kujengwa, na plan ya Mkapa ilikuwa akabidhi uwanja kabla hajamaliza muda wake.

    ReplyDelete
  11. anony wa 7.08 pm. uwanja wa sasa unabaki kama ulivyo kama kumbukumbu ya taifa na pia uwanja wa michezo na gwaride siku za sikukuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...