kinababa wa kibongo hawako nyuma sana kimitindo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2006

    unakuta broo hapo aliyevaa white na black kama si darkblue kila wakati anavuta suruali juu eti madai yake mkanda nje wakati afya hairuhusu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 04, 2006

    Huu mtindo wa kizaire wa MADILUU SYSTEM wa kuvalia suluari kwenye kitovu ni wa KITINDIGA, huyo wa tatu sijue nani kamwambia anapendeza namna hii. Jitu kama hili ata kupiga push mbili haliwezi!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 06, 2006

    huyo wa tatu mbona kavalia suruali makwapani?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 13, 2006

    NDIO MAANA UMEAMBIWA MTINDO!YAANI KATIKA MAAJABU WEYE WASHANGAZWA NA HILO?KITAMBI SURUALI UNAVALIA KIUNONI?JAMAA AMEPENDEZA!KAMA ANAKUKERA UCHUNE KIMYA,UNAMSAIDIA KUNUNUA NGUO?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...