Home
Unlabelled
picha ya kumbukumbu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
weeeeeee Kijana zemarcopolo, huyo usimguse kwani ni rahisi wa sehemu fulani ya mwungano!!! Kimya kabisa kijana!!! hehehehehe!! Lakini kweli bwana, mbona Mheshimiwa raisi Karume hana degree zaidi ya ile ya op.. uni.....
ReplyDeleteSasa naona vijana mnataka kugusa pasipogusika. Swala la elimu kwa mtukufu rais wa zanzibar, silijadiliwe tafadhali. Vinginevyo haka ka blogu kenu katafungiliwa mbali
ReplyDeleteAnony wa kwanza, mbona unampandisha chati Mtukufu Rais? Open University ipi hiyo? Yeye ana elimu ya hai skuli tu period. Na kwako anony mwingine, kufunga hii saiti hawawezi, Michuzi si mtu mdogo ati, sana sana watamwita wa mwambie, Bw. mdogo usiweke picha za Wakulu wenye elimu ndogo
ReplyDeleteKarume sisi Watanganyika anatuhusu nini? Watamuongelea Wapemba na waunguja. Kwanza karume anaongoza watu wachache ambao hawafikii hata milion, huwezi kumlinganisha na Mh Amina ambaye anayeongoza Vijana wa Tanzania ambao ni mamilion na mamilion.
ReplyDeleteKweli kabisa bwana Grill, unajua Amina Chifupa anamzidi karume kwa umaarufu
ReplyDeleteAliyesema kuwa na digrii ndo akili ni nani mbona kuna watu wanakuwa na upeo mdogo, Kuna watu wengi tuu ndani ya chama na serikali hawana digrii lakini wanaupeo mkubwa wa kiuongozi
ReplyDeleteaisee anony wa 7.58 point zako kali.aminia babaake.
ReplyDeletehuyo nani aliyesema tukimuongelea rais wa znz blog itafungwa ?? sasa nakwambia hivi, mimi binafsi nilishawahi kumpandishia karume alifanya upuuzi ambao angeweza kuepuka nao, now what !! mwambie sasa aje aifunge kama huko visiwani kutakalika !!
ReplyDeleteELIMU NI MATENDO NA UWEZO WA MTU KATIKA KUAMUA,KUTENDA,KUELEKEZA,KUKOSOA,KUSHAURI NK.
ReplyDeleteKUNA KUSOMA SHULENI NA KUSOMA KAZINI(PRACTICAL)IMBAYO NDIO NJIA MUAFAKA ZAIDI.
WENGI WETU TUNADHANI UKIKUSANYA MAKARATASI MEEEENGI NDIO UNAFAA KUONGOZA "UONGOZI NI KIPAJI NA KINATOKA KWA MUNGU" EDUCATION WITHOUT APPLICATION IS USELESS!
HIVI KUSEMA OVYO JUU YA WENGINE NDIO KUELIMIKA!?
KWENDA SHULE AU KUSOMA SIO KUELIMIKA,ILA UYATENDAYO NDIO ELIMU YAKO.
Karume hana sifa zote hizo ulizoeleza hapo juu labda yule ndugu yake Balozi anazo lakini siyo yeyre, kwani ameshafanya nini la maana hapa Zanzibar kwa miaka mitano iliyopita?kule Pemba umeshafika kutazama magofu ya majengo ya skuli zisizoisha?kuendeleza mradi wa nyumba wa Baba yake si deal, watu wanajenga nyumba zao hawana haja ya maskani.
ReplyDelete