Home
Unlabelled
tsj
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi nakuona umepiga pozi si mchezo.Na huyo wa kwanza upande wa kulia(waliosimama)nae alikua mwanafunzi??kulikoni jamani na kanga ya kiuno??au ndio utamaduni??
ReplyDeleteHahaha... Hivi Michuzi unajua hilo faili la bluu bado ninalo? Munde Mirambo yuko UK, Mariam Komanya yuko wapi? Asha Muhaji katia timu, Farida Kippingu afisa siku hizi, Hivi nikumbushe jina la yule aliyesimama kulia na faili jekundu. Bakari anavizia nini tena pale na mzigo wake ulikuwa sekondi yia? Hehehe na Bahati ndani ya red. Saida Mukhi?
ReplyDeletehapo nimemtambua carol bennet wa nne kutoka kushoto waliosimama mwenye red suit. sasa yuko geita gold mining, mariam komanya yuko TVT.
ReplyDeleteSemkae nakuona mzee umepiga pozi mwenyewe. Vipi hilo punk bado unaloo? Bado uko UK. Mnatunyima nini huko? Isaya yuko wapi?
ReplyDelete-Leo
sisi tulikuwa Makumbusho bwana huko kijijini tungewezaje kukaa huko sie? Natania kaka lakini mambo ya TSJ hayakubadilika sana bado tunakumbukana.
ReplyDeleteare you the same semkae ulienda makutupora
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDelete