alumni ya tsj mwaka 1996. semkae kilonzo (chini shoto) naomba utaje majina ya wote... na ukiweza wako wapi na wanafanya nini. kwa taarifa yako hili ndilo darasa la mwisho la diploma la tsj kusomea ilala shariff shamba kabla ya kuhamia mikocheni. makene upoooo?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 23, 2006

    michuzi nakuona umepiga pozi si mchezo.Na huyo wa kwanza upande wa kulia(waliosimama)nae alikua mwanafunzi??kulikoni jamani na kanga ya kiuno??au ndio utamaduni??

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 23, 2006

    Hahaha... Hivi Michuzi unajua hilo faili la bluu bado ninalo? Munde Mirambo yuko UK, Mariam Komanya yuko wapi? Asha Muhaji katia timu, Farida Kippingu afisa siku hizi, Hivi nikumbushe jina la yule aliyesimama kulia na faili jekundu. Bakari anavizia nini tena pale na mzigo wake ulikuwa sekondi yia? Hehehe na Bahati ndani ya red. Saida Mukhi?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 23, 2006

    hapo nimemtambua carol bennet wa nne kutoka kushoto waliosimama mwenye red suit. sasa yuko geita gold mining, mariam komanya yuko TVT.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 24, 2006

    Semkae nakuona mzee umepiga pozi mwenyewe. Vipi hilo punk bado unaloo? Bado uko UK. Mnatunyima nini huko? Isaya yuko wapi?
    -Leo

    ReplyDelete
  5. sisi tulikuwa Makumbusho bwana huko kijijini tungewezaje kukaa huko sie? Natania kaka lakini mambo ya TSJ hayakubadilika sana bado tunakumbukana.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 25, 2006

    are you the same semkae ulienda makutupora

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 25, 2006

    This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...