mkuu wa chuo kikuu huria tanzania john samwel malecela akimtunuku shahada ya udaktari ya heshima jane goodall kwa kazi yake ya uchunguzi wa sokwe kule gombe na kazi zingine za mazingira. hii ilifanyika jana dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huyu Dr Jana Goodall yuko Tanzania toka mwaka 1960 kama sikosei, wale sokwe kule gombe amewapa majina wote na sokwe wa kundi moja majina yao yanaanzia na herufi sawa. Mfano kuna kina fifi, figan, flint na ukoo mwingine kuna kina gilhad, gohan, nakumbuka wakati tukiwa sekondari tulitembelea mbuga nyingi kwa kutumia mgongo wa chama chake cha Roots and Shoots, hiki ni chama cha kuhifadhi mazingira porini/mwituni/mbugani etc

    ReplyDelete
  2. rhxoqsa!
    nimezimia na data zako. nafurahi kwa sapoti yako pia. ila hujanambia u wapi weye? ughaibuni ama bongo? maana data zako saa ingine za hapa na saa ingine za nje. halafu kama upo bongo inaonesha we mtu wa masaki masaki, ama...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...