Home
Unlabelled
jane goodall
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu Dr Jana Goodall yuko Tanzania toka mwaka 1960 kama sikosei, wale sokwe kule gombe amewapa majina wote na sokwe wa kundi moja majina yao yanaanzia na herufi sawa. Mfano kuna kina fifi, figan, flint na ukoo mwingine kuna kina gilhad, gohan, nakumbuka wakati tukiwa sekondari tulitembelea mbuga nyingi kwa kutumia mgongo wa chama chake cha Roots and Shoots, hiki ni chama cha kuhifadhi mazingira porini/mwituni/mbugani etc
ReplyDeleterhxoqsa!
ReplyDeletenimezimia na data zako. nafurahi kwa sapoti yako pia. ila hujanambia u wapi weye? ughaibuni ama bongo? maana data zako saa ingine za hapa na saa ingine za nje. halafu kama upo bongo inaonesha we mtu wa masaki masaki, ama...