
samahani kwa ukimya. wikiendi nilienda kujichana mafia. wakati naondoka kuna mwanadada aliye marekani kataka kujua endapo kweli amina chifupa alitolewa mkuku bungeni kwa kutinga na kofia. habari hiyo ni kweli ila ni uongo kwama kofia hairuhusiwi bungeni, kwani kwa mujibu wa mh. spika samwel sitta, endapo utakula ful-suti pamoja na glovu unaweza kuingia na kofia. amina alitinga kama umuonapo hapo pichani wakati waziri wa elimu mama margareth sitta (mke wa spika, naam) akimpoza siku hiyo ya siku
Amina tumekuchoka sasa ,tafuta mpya nyingine urudi kwenye chati tena, unapwaya!
ReplyDeleteAmina tumeshakuchoka sasa,tafuta mpya ,unapwaya.
ReplyDelete