Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. huyu ni Charles Hillary mzee wa charanga merengwe kumbya na salsa enzi hizo akiwa radio one, sasa hivi BBC wamemchukua i;m not sure yuko nchi gani labda utukumbushe Michuzi, Halafu kuna kina Susan Mungi (Lukindo) hivi naye yuko nchi gani?

    ReplyDelete
  2. Definitely Charles Hillary!

    SHIKAMOO KAKA CHARLES!

    ReplyDelete
  3. Aksante kidume kwa kunifahamisha kwamba Charles Hillary yupo deutch Welle na yuku Ujerumani mimi sikuwa na kumbukumbu kwamba yuko huko kwa sababu sikumfuatilia tena tangu alipoondoka radio 1

    ReplyDelete
  4. huyo ni jibaba chales hilary

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...