maxmillan bushoke akiimba nyimbo zake za sikinde alipokuja likizo bongo toka sauzi anakofanya kazi ya utangazaji kwenye redio. hapo ni kimboka bar buguruni na huyo ni mshabiki ambaye ni mlemavu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2006

    Michuzi, Bushoke anatangaza redio gani? Nilidhani kuwa bado yuko kwenye muziki.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 29, 2006

    Anatangazia Radio Channel la Africa-Jonannesburg.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...