mashindano ya u-miss yapo na yalikuwa kubao toka enzi hizo. hii ni miaka ya mwanzoni mwa 90 na ni washindi wa shindano ni miss heineken lililofanyika niu afrika hoteli ghorofa la saba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 22, 2006

    Michuzi enzi zetu hizo! Za Farida fashion! Kina nani hao?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 23, 2006

    hawa ndio warembo mambo ya naturali siyo siku hizi mikorongo na manywele ya bandia tuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...