bongo yetu, hakuna matata...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 16, 2006

    Hey Michuzi , Very nice photo man!
    Bongo yetu tunaambiwa hakuna matako!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 16, 2006

    Mmmh anonymous 1 kwanza umenistua kidogo, nadhani ni katka harakati za kutype..natumai utakuwa umemaanisha matata...
    very nice picture...

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 16, 2006

    Bwana Michuzi. Hapo umetoka tiki 100% sasa naomba unielimishe HAPO NI WAPI?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 16, 2006

    aaaah Bwana Michuzi,
    Mtu mzima hatishiwi nyau wa kuchora.....

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 16, 2006

    Nadhani hapo ni ndani ya ikulu Dar-es-salaam.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 17, 2006

    Yeah hapo ni IKULU pale mlango mkuu wa kuingilia ndani ya jengo.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 17, 2006

    Hapo ni segerea, gerezani. Hapo ni nje ya kuingilia mlango wa kwenda kwenye selo za VIP.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 17, 2006

    Huyo simba smile yake na wewe Michuzi vimekosana kidoga tu! Sana sana smile yake iko kama huyo Kinje wenu huko! Very nice smile!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 17, 2006

    We trio umeanza ugombanishi sasa! Mbona kama huyo mtu alikuwa anajoke tu jamani?

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 19, 2006

    Trio kaka mimi naungana na wewe 100% kuna watu wanpenda kusikia mbaya tuu hata kwenye misiba ya mama zao wanatapika mbaya sijui ni kwa nini tunapungukiwa na jamii ya watu waungwana yaani usipotukana mtu unaona kama umepewa nyanya chungu ,Bw Michuzi anatupatia news sisi tulio mbali na nyumbani sasa kuna watu mnavisasi na kazi zake basi mfwate kwenye majukwaa hukohuko bongo mkatukanane uzuri bahaaaaaaaa

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 21, 2006

    Asanta Emergency poison. Huyo ndio anafanya Michuzi aelewe vibaya! I think so too ni mtani wake ukifuatilia alivyoandika. Lakini marefa kaka!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...