Home
Unlabelled
kiwalani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mwanangu weee kumbe mambo ndivyo yalivyo maeneo duuh.
ReplyDeleteMzee Magufuli kazi unayo!Hivi viwanja vilipimwa kweli?Na nani?!Vibali vya kujenga walipewa na nani?!Kuna umuhimu wa wahusika kuangukiwa na panga la papo kwa papo!Haya tena wana ari mpya,kasi mpya,nguvu mpya!
ReplyDeleteHapo kunahitwa kiwalani kwa gude. Kwa waliohishi ugaibuni miaka mingi kama poisson kwa taharifa yako.
ReplyDeletejamani kwa utaratibu huu si ndio huku wanakoroma huku wanatema makohozi wakati huyu anakoroga michicha. tutapona kweli.....
ReplyDeletena tnajidai wenyewe na mjiwetu
yaani hapa ndio home, hii nyumba ya katikati yenye bati lenye kutu ndio maskani
ReplyDeleteAfadhali kidogo hata hii view unaona kuna mabati mapya kidogo, na njia, sio full vichochoro, kulikoni view ya mwanzo ya Zanzibar! Puuuh!
ReplyDeletekwani hii kiwalani na ile picha ya zenji mbona sioni tofauti?lakini ya zenji midomo ilichongwa?
ReplyDeletehaya sasa bara hiyo
anony si unajua watu wanapenda kujifagilia tu? Hila kuna unafuu kidogo. angalau barabara zinaonekana
ReplyDelete