harusi za bongo siku hizi kwaliti, hivyo msihofu kuja kuoa/kuolewa huku. hapa ni ukumbi wa karimjee hall

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 11, 2006

    Mashine ya kufulia nguo ya nini kwenye harusi?Au ni zawadi?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 11, 2006

    Michuzi kupendeshesha kama hivi ni kiasi gani ati? Na hili hall lenye wana kodisha kiasi gani. Sasa kweli kweli....hata huku ughabuni sio viiiilleeeee.

    ReplyDelete
  3. Kwaliti hii sasa ndio tulitakiwa tuifikishe hadi kwenye mashule yetu. Vikao vya kuchangia harusi hadi itoke bomba namna hii inabidi vianzishwe pia katika nyanja zingine. Wabongo tunaweza kabisa tukiamua. Kwa kweli pamependeza.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 12, 2006

    Kweli si mchezo, utafikiri hapo ni Ughaibuni, tunaendelea, naungana na ndugu Mija Shija Sayi hapo juu, wabongo bwana tufanye hima katika nyanja nyengine, maana uwezo tunao, haswa kama alivyonukuu kuhusu MASHULE YETU. maana shule nyingine bwana choo sana lakini ndo hivyo mtoto wa mlalahoi inabidi tu atoswe kwenye shule kama hizi, lakini tukiungana pamoja, kujadili, na kutoka michango, ka inavyotolewa kwenye maharusi, itakuwa poa sana mana hata walalahoti na wenye kima cha chini kwenye maharusi huwa wanajipiga, sasa tufanye hivi kwenye maswala mengine haswa kama alivyonukuu ndugu Sayi hapa, MASHULENI. Ahsanteni.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 12, 2006

    Duuh!? Hivi ukumbi wa Karimjee bado unatumika kwa shughuli za Bunge?

    F MtiMkubwa Tungaraza.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 12, 2006

    Pale hakuna tena shughuli za Bunge. Ni mikutano na warsha nyenginezo ndo hufanyika pale. Hata vijsemina vya wabunge siku hizi hawafanyii pale tena! Pamekuwa ni mali ya Jiji (City Concil).

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 13, 2006

    Nyie chuuzaneni tuu ni 2% ya wabongo ndo wanaweza kutinga kwenye kumbi kama hizi kwanza kukodi ni ukiritimba mkubwa isitoshe hii ni photo ya harusi ya mtoto wa Makamba hivi sio harusi ya havijawa au Mzee Small masikini wenzangu mjue kumbi ni zilezile cha makanisani na mabwalo ya jeshi kama mna ndugu afande

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 13, 2006

    Michuzi mbona umekuwa mvivu hivi tukuwekea picha mpya au kale kaugonjwa ka malaria kanakusumbua baada ya pilikapilika ya sabasaba tutaalifu basi

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 13, 2006

    SASA MICHUZI LETE PICHA YA JANET KAHAMA. TAFAZALI, BABA. SHUKRANI.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 13, 2006

    Janet Kahama ndio nani bwana wewe? Tulete picha za mashule ya temeke huko mashule mabovu....tunaomba pia na picha za wanafunzi vituoni waone the true picture ya matatizo ya watoto wa shule.....Janet kahama my foot.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 13, 2006

    Thank u Jeffer! Kaka Michuzi tuonyeshe real life, mateso ya live, just to wake us up my man!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 14, 2006

    true that, fellas,sio kukalia mambo ya udaku tu!!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 14, 2006

    Yes huu ukumbi siyo rahisi kupata nakumbuka kuna siku nilipigana kuupata hata kigogo mmoja akatumika siku ya mwisho ilikuwa puu chini sina hamu kabisa. Wakubwa walizidiaana masikini nikarushwa kule. Hata niliyekuwa nimemuomba alipata kigugumizi kabisa ikabidi twende leaders angalau kaarusi kakafanyika. Hila harusi ni mapambo bwana hata huo usipopata mpambaji mzuri inakuwa hakuna kitu. upambaji tenga tu milioni mbili za kibongo utapata mambo tu mazuri hata leaders nje.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 14, 2006

    Wee Anony hapo juu, hii bulogu ya Michuzi ni Mambo mchanganyiko, that is the whole point. Mashule, Udaku, Wezi, Rushwa na kazalika, kila kitu kinamwangwa humu. Asannte.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 15, 2006

    We unayetaka kukalia udaku tu dunia hii ya leo, millenium hii!
    We ukakae vibarazani bwana, humu ni hayo mengine yote ulioyoyaorodhesha hapo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...