Home
Unlabelled
kwaliti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mashine ya kufulia nguo ya nini kwenye harusi?Au ni zawadi?
ReplyDeleteMichuzi kupendeshesha kama hivi ni kiasi gani ati? Na hili hall lenye wana kodisha kiasi gani. Sasa kweli kweli....hata huku ughabuni sio viiiilleeeee.
ReplyDeleteKwaliti hii sasa ndio tulitakiwa tuifikishe hadi kwenye mashule yetu. Vikao vya kuchangia harusi hadi itoke bomba namna hii inabidi vianzishwe pia katika nyanja zingine. Wabongo tunaweza kabisa tukiamua. Kwa kweli pamependeza.
ReplyDeleteKweli si mchezo, utafikiri hapo ni Ughaibuni, tunaendelea, naungana na ndugu Mija Shija Sayi hapo juu, wabongo bwana tufanye hima katika nyanja nyengine, maana uwezo tunao, haswa kama alivyonukuu kuhusu MASHULE YETU. maana shule nyingine bwana choo sana lakini ndo hivyo mtoto wa mlalahoi inabidi tu atoswe kwenye shule kama hizi, lakini tukiungana pamoja, kujadili, na kutoka michango, ka inavyotolewa kwenye maharusi, itakuwa poa sana mana hata walalahoti na wenye kima cha chini kwenye maharusi huwa wanajipiga, sasa tufanye hivi kwenye maswala mengine haswa kama alivyonukuu ndugu Sayi hapa, MASHULENI. Ahsanteni.
ReplyDeleteDuuh!? Hivi ukumbi wa Karimjee bado unatumika kwa shughuli za Bunge?
ReplyDeleteF MtiMkubwa Tungaraza.
Pale hakuna tena shughuli za Bunge. Ni mikutano na warsha nyenginezo ndo hufanyika pale. Hata vijsemina vya wabunge siku hizi hawafanyii pale tena! Pamekuwa ni mali ya Jiji (City Concil).
ReplyDeleteNyie chuuzaneni tuu ni 2% ya wabongo ndo wanaweza kutinga kwenye kumbi kama hizi kwanza kukodi ni ukiritimba mkubwa isitoshe hii ni photo ya harusi ya mtoto wa Makamba hivi sio harusi ya havijawa au Mzee Small masikini wenzangu mjue kumbi ni zilezile cha makanisani na mabwalo ya jeshi kama mna ndugu afande
ReplyDeleteMichuzi mbona umekuwa mvivu hivi tukuwekea picha mpya au kale kaugonjwa ka malaria kanakusumbua baada ya pilikapilika ya sabasaba tutaalifu basi
ReplyDeleteSASA MICHUZI LETE PICHA YA JANET KAHAMA. TAFAZALI, BABA. SHUKRANI.
ReplyDeleteJanet Kahama ndio nani bwana wewe? Tulete picha za mashule ya temeke huko mashule mabovu....tunaomba pia na picha za wanafunzi vituoni waone the true picture ya matatizo ya watoto wa shule.....Janet kahama my foot.
ReplyDeleteThank u Jeffer! Kaka Michuzi tuonyeshe real life, mateso ya live, just to wake us up my man!
ReplyDeletetrue that, fellas,sio kukalia mambo ya udaku tu!!
ReplyDeleteYes huu ukumbi siyo rahisi kupata nakumbuka kuna siku nilipigana kuupata hata kigogo mmoja akatumika siku ya mwisho ilikuwa puu chini sina hamu kabisa. Wakubwa walizidiaana masikini nikarushwa kule. Hata niliyekuwa nimemuomba alipata kigugumizi kabisa ikabidi twende leaders angalau kaarusi kakafanyika. Hila harusi ni mapambo bwana hata huo usipopata mpambaji mzuri inakuwa hakuna kitu. upambaji tenga tu milioni mbili za kibongo utapata mambo tu mazuri hata leaders nje.
ReplyDeleteWee Anony hapo juu, hii bulogu ya Michuzi ni Mambo mchanganyiko, that is the whole point. Mashule, Udaku, Wezi, Rushwa na kazalika, kila kitu kinamwangwa humu. Asannte.
ReplyDeleteWe unayetaka kukalia udaku tu dunia hii ya leo, millenium hii!
ReplyDeleteWe ukakae vibarazani bwana, humu ni hayo mengine yote ulioyoyaorodhesha hapo.