mh. james lembeli (pili shoto) akiteta na baadhi ya waandishi wanaokava bunge dodoma. huyu bwana kalamba dume na kuwa mbunge wa kahama baada ya kjusota miaka kadhaa pale tanapa arusha. wengine toka shoto ni abeid butu wa tvt, moshy kiyungi wa ipp, nelly mtema wa deiliniuz, anna itenda wa maelezo na eshe muhidin (hatuhusiani) wa tvt

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 26, 2006

    muheshimia mbona umejiwahi umeogopa waungwana wasije wakalitengeneza. vizuri baba

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 26, 2006

    Huyu mhishimiwa sie tuliyemsoma magazetini juzi kuwa kafikikishwa mahakamani na dereva wake kwa kumdhulumu fweza wakati wa kampeni?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 26, 2006

    Mhh hayo majina yalivyoandikwa! Sisemi mimi. Nitaambiwa bora nimeelewa, lakini vinauzi bwana kagh!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...