Home
Unlabelled
mawaziri
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mbona mavazi hayafanani na vyeo vyao?
ReplyDeletehawa waheshimiwa hata hawasikii jota la dodoma?au uarabu mwingi!!
ReplyDeletehebu waambieni hiyo dressing code basi.
ReplyDeleteUtafikiri wanakwenda msibani. Si wawe wanaangalia mawaziri wengine wanavyovaa kama akina Zakia Meghji au Dk.Migiro
ReplyDeleteikitokea wanawekwa ktk msafara wa kuelekea kwa bush haki ya nani watarudishiwa mlangoni hayaa mavazi gani hayo??? mavitu kibaoo mnaenda wapi??
ReplyDeletembona hamridhiki?
ReplyDeleteAh! siunajua bwana Mavazi ya siku hizi, mpaka mwanamke aonekane mapaja, mahips, mabamps, mguu, kifua kionekane 2/3, halafu tupate kumsifia.
ReplyDeleteAh! Mgu wake mzuri, oh! angalia bamps zake, Mh! angalia hips zake, Luh Mguu chupa ya bia., Eh! lakini maziwa yamelala.
Hao ndio wabonge, uzungu umewaingia kutembea uchi ndio ustaarabu.
Subiri uwe na mke anevaa kiheshima, utasikia wabongo mpaka wanawake wanakwambia mke wako Nzuri, lakini kajificha sana, mguu hatuuoni, kiuno hakionekani vizuri, Ebo! mke wa mtu unamtakia nini? maungo yake si atmuonyesha mume wake, Ndio maana laana inawajia mnatembea hata na dada zenu sasa.
Kama mwanamke antembea ushi na wewe kaka unapenda iwe hivyou kwa nini msitandikane?
Vaeni Kistaarabu na ndio maana ya ustaarabu, musipende wale wanaotembea uchi.
Dr Maua Daftari ni mtu makini,mstaarabu, asiyependa kujikweza hata kidogo na ni mchapakazi anayestahili kuigwa na wanasiasa wengine wanawake hapa Tanzania.
ReplyDeleteNi msomi pia asiyechoka kutafuta elimu zaidi.Kwasasa anafanya EXECUTIVE MBA pale Eastern and Southern Africa Management Institute(ESAMI),Arusha.
hao wanaoona wemevaa vitu vya ajabu wameombwa na anonymous #3 wawaambie hiyo dressing code wao wanayoona inaendana na hivyo vyeo.
ReplyDeletekama walichovaa hakiendani na vyeo, nadhani spika angewaambia kama ambavyo ameweza kuwaambie wale wote waliofanya hivyo.
waheshimiwa wa watu wanajua hawajaenda bungeni kufanya fashion show.
Fikrathabiti,
ReplyDeleteDr Maua Daftari kuamua kujiendeleza kielimu ni jambo la kumpongeza sana na inabidi na sisi Wabongo wengine tuige mfano huo.
Lakini si kuna tetesi kwamba hiyo doctorate yake ni zile ambazo zimepatikana bila hata kutia mguu shule! Je hiyo ndio sababu ameamua kufanya executive MBA ili akianza program ya PhD kweli awe tayari amejizatiti kielimu?
Nakumbuka huyu Mama Daftari alikuwa na kesi ya kumdhulumu pesa shoga yake sijui kesi iliishia wapi, kwa wenye taarifa.
ReplyDeleteKweli Sheki Bush ndio nani sasa,kila mtu anahaki ya kuvaa anavyotaka kulingana na alivyozoea,je Bush akija bongo mfano atakubali kuvaa kibongo bongo mfani shati la batiki?waafrika hatuendelei sababu hatuna msimamo madhubuti,ila inferiority complex tu!!
ReplyDeleteBy the way who is Bush in our country
ReplyDeleteWote wawili wana mashavu bomba sana hasa huyu wa kushoto, sijui mabinti zao wakoje!
ReplyDeleteJAMANI MSIWASAKAME SANA HAO NI WASLAM NA MAADILI YA DINI ZAO NDIO ZINAWAFANYA WAVAE HIVYO !!! KWA DRESSING CODE HII NI YA KIDINI SIO KIKAZI KAZI WKA VYEO VYAO WANGEVAA TOFAUTI SIKATAI ILA DINI JAMANI DINI KUMBUKENI HAWATAKI KUJIBADILISHA KAMA KINACHIFUPA WAO WAMEIGEUKA DINI TANGU WADOGO KUACHIA KICHWA WAZI E.G NDIO MAANA BUNGE INAWARUHUSU KUHESHIMU DINI YAO KAMA WABUNGE WA ZENJI.
ReplyDelete