Home
Unlabelled
manzese
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Daah michuzi wewe mambo yako bwana unafurahisha kweli ukituwekea vitu kama hivi.......
ReplyDeleteMjomba Kijakazi kaja! Na gari lake ndio hilo kaja na yule mpiga picha ! Ebu basi jamani vaeni vaeni kanga safi safi basi atupige picha! Tutatoka kwenye gazeti! Thanks Michuzi inanikumbusha mbali sana!
ReplyDeleteHaa ha haaa! Dada mwenye gauni la maua ana maan gani? Mkono ......na kitenge kinakuonyesha mambo kwa $! Michuzi mimi niko Europe mwambie nina euro tu!
ReplyDelete11:51 usishangae sana, unaweza kuja kuambiwa hata kanga zinatoka nje siku hizi, dunia hii ya globalisation wanatumaliza tu!
ReplyDeleteWe wa juu hapo huna hata ulichoelewa hapo kuhusu huyo wa juu yako alivyosema! Kanga au vitenge ni chinga tu bwana we! Made in huku huku bwana we!
ReplyDeleteKaka Michuzi,
ReplyDeleteUnaweza kutuwekea picha ya Uwanja wa Fisi tafadhali.
Ahsante,
Huyu aliyewasema hawa watoto kakosea sana,hizi sio tabia za uswahilini ila watoto wanajaribu kuonyesha kipaji chao cha wrestling!!!! Ni umasikini tu lakini hiyo deal wazazi wakiichungulia vizuri itawanufaisha baadae.
ReplyDeletenyumbani ni nyumbani tu hata kama uswahilini.na watoto wote wa kila sehemu michezo yao ndio hiyo tu ya kuvutana haijalishi kama ni mazense au masaki na obey
ReplyDelete