mambo ya a taun haya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 22, 2006

    huyo msomali naye makuti habadilishi anataka mpaka mamvua yaanze kuingii ndio ashtuke aahhhhhh

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 22, 2006

    Is this Bar er salaam? Namanga?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 26, 2006

    nyi hamjui hapo ni daffur(sudan)

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 26, 2006

    Na nyie hamjui wapi a town?si Arusha jamani

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 26, 2006

    hiyo ndio baracudda nini? baa ambayo inasifika kuwa ndio makao makuu ya wezi wa magari, only in bongo, yaani ni kitu kilicho wazi kabisa, na hakuna lolote linalofanyika.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...