wah. wabunge lucy mayenga (shoto) na zainabu vullu wakiongea nje ya bunge dom

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 31 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 28, 2006

    MWANAMKE ANATAKIWA MABADILIKO. SI MUDA WA KUPIGA UMBEYA.

    MICHUZI KUNA VITU WATU HAWAJAJUA.THERE IS A POTENTIAL KATIKA BAADHI YA WABUNGE HAWA WANAWAKE. KWA MFANO MTU KAMA MAYENGA NA MAMA VULLU AMBAO MIMI BINAFSI NIMEWAHI KUWAONA. NI WATU AMBAO KWELI WAKO KWA AJILI YA WANAOWAWAKILISHA. NDUGU WANABLOG WENZANGU, HAWA NI WABUNGE WA VITI MAALUMU WANAWAKE.MAMA VULLU ANA PIGA KAZI YA KWELI NDANI YA JUMUIYA NA HATA MAYENGA PIA. MAYENGA ZIDISHA MWENDO, UNA SAFARI NDEFU. WASAIDIE VIJANA NA WANAWAKE NAO WATAKUSAIDIA.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 28, 2006

    Wewe Anony hapo juu tuambie nini cha maana wameshakifanya kwa wananchi wa Tz. Acha ushabiki usio na maana na faida kwa taifa. Ongea kwa vitendo sio kwa nadharia. Shuka na data tutakusuport otherwise acha umbeya usiokuwa na maana!!!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 28, 2006

    Anony wa kwanza ana agenda ya siri inawezekana anamegewa kidogo kidogo. Maana pamoja na kusifu 100/100 hajatoa kitu hata kimoja kwa nini anafanya hivyo. Wazidishe mwendo kuelekea wapi?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 28, 2006

    Wandugu mwenye datas za hawa waeshimiwa wamefanya nini au wanachakarika na agenda ipi ningefurahi kupata hizo info.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 28, 2006

    Hawa kazi yao kubwa ni Kuitatein wabunge na mawaziri ili waishi kwa raha wakiwa bungeni. Hamuoni kuwa huo ni mchango mkubwa sana au? Burudani nazo ni muhimu kwenye maendeleo.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 28, 2006

    wewe anonu wa kwanza umekuwa mshabiki lakini mimi kama anony mwenzio naomba nikusaidie kwa kweli. lucy amekuwa mwenyekiti wangu wa vijana pale mikocheni. amesaidia hasa upande wa vijana. alishirikiana nasi katika masuala ya vijana hasa kutuamasisha kipindi cha kupiga kura na hata pia wakati wa kuangalia zoezi zima. hakutuacha labda kwa sababu sote ni vijana wake lakini kuhusu huyo mama mimi sijui labda tuwaulize watu wa bagamoyo.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 28, 2006

    anony wa Friday July 28, 5:05:36pm umechemsha sana hapo. Kura za Tz zinapigwa kila baada ya miaka mitano. Dhumuni ya kura ni kumpa KULA mtu/mgombea. Kuhamasishwa kupiga KURA haijengi jumuia wala kusaidia vijana. Kuwapa ajira vijana, elimu, afya bora, lishe, miundombinu, makazi na mikakati bora ya maisha, ndiyo matokeo yanayotakiwa kwa hizo kura, na siyo kupiga kura tu.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 29, 2006

    wote hamumjui lucy wala nini huyu mheshimiwa hana lolote zaidi ya kutembeza uchi kwa waheshimiwa wenzake acheni kutudanganya bwana. Anonymous namba moja wewe umekula rushwa umenilazimisha kutoa maoni haya hata hivyo sitaendelea zaidi kwa kuwa huyu binti mambo yake kwa upande wa hovyo ni makubwa kuliko mazuri.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 29, 2006

    Anoy wa hapo juu inawezekana ni kweli ila sifa moja yake ni kwamba ni lazima iwe NGONO SALAMA, kwa hili namsifu maana hata anajali.Alafu inakuwaje mtu kuambiwa anatembeza uchi ina maana hata akiamua kufanya hivyo kutimiza zile haja za kibinadamu bado ni ubaya, alafu kama ni mzuri kiasi hiki lazima atachajisha watu kingono, hivyo hanakosa kama anatimiza hamu zake.NAMSIFU!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 29, 2006

    Hivi mweshimiwa ameolewa? maana natafuta mtu wa kuoa naona kapendeza naweza kutuma maombi. Akinikataa basi tu hila mimi sina pesa nyingi sana. Sijui atanikubali?. Naomba aliye na data kama nitaweza aniambie.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 29, 2006

    Anony wa hapo juu Lucy bado hajaolewa ila sasa uwe na moyo wa ziada ili uweze kuishi nae. Wewe peleka tu maombi sidhani kama utakataliwa ila tu kama una kihistoria ka pressure ndio unatafuta tiketi ya kuwahi.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 29, 2006

    Ili kumpata unaweza kutumia contacts zake za bungeni, ni kifaa ila nadhani baada ya muda ni lazima kuambatana naye DOM,ili kuwadhibiti wazengeaji,alafu ana bright future kumbe ni vizuri kuwekeza, anaweza akawa mwakilishi wetu wizara ya nje baada ya Migiro.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 30, 2006

    Anony wa hapo juu nakuunga mkono, sifa anayo na future imekubali. Familia yake naijua hamna shida, nakumbuka mdogo wake anaitwa Deo (ana akili huyu Jamaa kama mtu mzima)yuko UK na mwingine wa kike yuko States... Kwa hiyo wekeza mzee sio omba omba!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 30, 2006

    Lucy Mayenga jamani ....she is a great woman, very intelligent and very considerate. Mimi nimesoma na Lucy na licha ya hiyo Lucy ninamfahamu inside out ..ni rafiki yangu nahata baada ya kuwa mbunge Lucy is still the same sweet intelligent woman na hana majivuno...ninawahakikishia nyie wote wenye roho mbaya( mtakuwa waandishi wa habari tu flani flani wenye vikorosho)...watch this space..anakuja juu huyu..and yes she is beautiful...watu wengine bwana eti 'anatembeza uchi' kwa waheshimiwa ..nenda na wewe katembeze kama hata utapata udiwani shenzi type...

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 30, 2006

    Aise Anony wa hapo juu ulichosema kama ukweli upo karibu na Lucy mwambie basi aende shule kidogo diploma ya tsj na kurasini haitoshi kwa huko tunapoenda mkuu. Mshauri apige book kidogo maana umesema kichwa anacho kizuri. Mambo yanabadilika mpeni ushauri endelevu achana na hao wenye chuki wanaombea watu mabaya tu. Halafu hata kama anagawa uchi si wa kwake bwana kwani aliaazima wa huyo anony hapo juu kwamba atakapokuja kumrudishia utakuwa umechakaa sana, Watz bwana kwa kupenda kukimbilia mambo binafsi ya`mtu.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 31, 2006

    anonimous hapo juu ni mwongo kichizi, humjui Lucy wala nini Lucy ashaolewa na akaachika hivi sasa nasikia kaolewa tena na mheshimiwa mmojawapo hapa bongo hivyo usiongee uongo wakati ukweli unajulikana.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 31, 2006

    ANATOKA NA MKUU WA MKIOA WA TANGA JAMANI. TENA YEYE NI THIRD WIFE. KACHUNA HADI BASI

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 31, 2006

    anony hapo juu ni kweli kabisa. watu wanapenda kusifia hata vitu wasivyovijua ooh ana roho nzuri oooh n imesoma naye. Si atafute single mwenzake na awe mfano kwa jamii yeye kama kiongozi? Mkuu wa Mkoa wa Tanga kamsaidia saaaana lakini sasa hivi anamponda. Kama ulimpenda kuleni wote mkipatacho. Alikuwa naitelekeza familia yake kisa wewe umepqata ubunge unaleta nyodo.

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 31, 2006

    Jamani kama hivyo basi corruption ya sex ni kubwa sana kwa politicians wa TZ. Na tukifanya tafiti pengine utakuta hata kuingia huko wengi wanawatu katika system, ina sikitisha! I prefer the means justifies the end, and not the vice verse, the end justifies the means haipandi kichwani kwangu, nadhani siasa ni kitu kibaya sana.
    Looh, kama kweli nasikitika sana maana uozo unaleta kula kwa wengi na sasa utaendelea kutolewa kama takrima hata baada ya kuingia ndani ya nyumba.

    ReplyDelete
  20. Grill, ni tamaa ya mwili tu manake kama pesa anayo na kingine ni dhana tu ya kumchuna mtu basi. Halafu mtu kadiriki kumsifia eti anamjua in and out. Kwanini humpi ushauri atafute mtu wake atulie?

    ReplyDelete
  21. Imefika wakati kudai hata haki za wanaume kama hawa wanatumia ngono sisi tutumie nini?

    Na akina dada walio siliasi inabidi watuunge mkono.

    ReplyDelete
  22. Nchi gani duniani ilishawahi kupeleka watu ambao hawakwenda shule bungeni kama siyo tanzania? Nani atakupeleka bungeni kupata mamilioni ya pesa bila kwenda shule kama siyo rushwa? Kuna mtu alisha sema afadhali ukimwi umefanya watu wakawa na displine naona alikuwa sawa kabisa. Vinginevyo kama sasa ni hivi je bila ukimwi?

    Imefikia wakati wa kuwa macho na ngono hizi. Tunahitaji watu wa kuwakilisha wananchi, ili kodi za walipa kodi zitumike vizuri, siyo vyakula vya watu bungeni, kama mnataka chukua posho yenu kawape.

    ReplyDelete
  23. Hivyo ni lazima kuwa na Bunge katika TANZNIA?Kazi ganin hasa wanafanya wabunge yaani kupitia bajeti ambazo tayari zishatayarishwa? mbona hata sisi tunasomewa tunasikia ktk vyombo vya habari wao wana faida gani kwenda kule? alafu mbona hawaulizi matumizi ya bajeti iliyopita kazi ambayo nadhani ingekuwa bora kuliko ya kusikiliza bajeti hizo. Mtasema kupitisha na kujadili miswada kwani hilo halitowezekana kupitia suggestion boxes na kuitisha mjadala kutafuta ile inayoitwa public opinion!Jamani siyo utani akina TrioKaka, Grill, Kigerera na wengine nisaidieni hili mimi sioni kazi ya Bunge letu hapa TZ.

    ReplyDelete
  24. Unajua tunaface hili tatizo la kuwa na hao wanajulikana kama wabunge kutokana na sisi wenyewe wapiga kura kufanya makosa, maana nikiangalia nchi za wenzetu ambazo nimebahatika kukaa mtu anapootaka kugombea anabidi anyoshe lengo lake nini? au ni nini anategemea kufanyia wananchi na anategemea nini kutoka kwa wananchi. kwa kifupi kama mbunge mwenyewe hajui his/her own purpose how are we expecting them to do something productive to us.
    kwahiyo tujue kabla hatuwanyooshea vidole hao waheshimiwa tuangalie kwanza sisi wenyewe tumekosea wapi.maana wengine wameng'ang'ania hivyo viti miaka chungu mzima. na bado tunaendela kuwapa kura obvious watapunga upepo na kuchokoa meno kwani hawana wasiwasi...

    ReplyDelete
  25. jamani mimi napenda kumzungumzia huyu dada mayenga, wapo watu ambao wameamua kumponda na wapo ambao wameamua kumsifia lakini jamani hebu tuangalie mazuri ya huyu dada maana unaambiwa huko bungeni hakuna mtu ambaye ametulia kama yeye. ni mtu ambaye anajiweka katika low profile sio kama wenzake wengine ingawa ana uwezo mkubwa ana akili sana hapendi kuzungumza zungumza hovyo bungeni. hivi mnadhani kupiga makelele bungeni ndo kuwa na akili au kuonekana wewe ni bora? haitakiwi kujifanya unajua kila kitu hata kama unajua inabidi unamezea na hiyo ndio siasa jamani heeee.

    ReplyDelete
  26. Wewe Anony wa 12:24:31 usiwe mvivu wa kufikiria hata kidogo. Fikiria kila mbunge aamue kukaa kimya bungeni ili asiitwe msema ovyo bunge litakuwaje. Halafu wewe ulimchagua mbunge ili akusaidie au ili awe sehemu ya matatizo unayopata. Unajua adha watoto na mama wanayopata pindi baba anapokuwa na nyumba ndogo. Kitendo cha mayenga kuwa nyumba ndogo ya mkuu wa mkoa huoni kuwa anashiriki kwa kiasi kikubwa kuitesa familia ya mheshimiwa. Ingekuwa ni nchi kama za huku kwa wenzetu ilitosha kabisa kumfanya lucy ajiuzulu ubunge. Halafu unathubutu kusema ametulia na ana akili, angekuwa anafanya hayo. Mbunge unatakiwa uwe kioo cha jamii na sio kuwa chanzo cha kusababishia watu wengine matatizo.

    ReplyDelete
  27. Jamani hawakupelekwa au hakupelekwa bungeni kukaa kimya na kuchangia hoja ambazo ni za msingi na umuhimu katika maendeleo ya nchi yetu sidhani ni kusema ovyo.

    Na kama yeye lengo lake ni kwenda kutengeneza profile kwa mtazamo wangu ataitengeneza vizuri sana kama atachangia kikamilifu katika kuleta maendeleo ya jamii siyo kwa kukaa kimya.
    na kama ana behave ni vizuri kwani hiyo pia ni mihimu kwa jamii lakini tutamrespect zaidi kama atatuwakilisha kikamilifu sisi wanajamii na siyo kujigeuza bubu."to speak up her opinion it doesnt mean anything bad as than being true grown up and do her job.... that how we are expecting those MPS to be.. and not to be rubber stamp or going their to chill.....

    ReplyDelete
  28. Kuna mtu ana wivu na huyo mheshimiwa Lucy. huyo mtu ni mwandishi wa habari wa gazeti fulani alimuandika lucy kuwa ameolewa na mheshimiwa fulani tuhuma ambazo ni uongo. huyo mheshimiwa hajaolewa, na kwa taarifa tu, anasoma chuo sasa hivi anasomea political science siyo mpaka aende magazetini ili wote mjue kuwa yuko shule sasa hivi. mbona nyie wivu tupu humu, hata uongozi sifa hamna. kwa raha zake. nampongeza sana!!!

    ReplyDelete
  29. Kuna mtu ana wivu na huyo mheshimiwa Lucy. huyo mtu ni mwandishi wa habari wa gazeti fulani alimuandika lucy kuwa ameolewa na mheshimiwa fulani tuhuma ambazo ni uongo. huyo mheshimiwa hajaolewa, na kwa taarifa tu, anasoma chuo sasa hivi anasomea political science siyo mpaka aende magazetini ili wote mjue kuwa yuko shule sasa hivi. mbona nyie wivu tupu humu, hata uongozi sifa hamna. kwa raha zake. nampongeza sana!!!

    ReplyDelete
  30. Aisee Msomi hapo juu, nashukuru kwa kutueleza kwamba Mayenga yuko shule sasa. hayo ndiyo mambo. Kwani tunahitaji wawakilishi wetu waende shule.

    ReplyDelete
  31. Nimesoma kuhusu Lucy. Ni mwanamke opportunist sana. hawezi kuacha mwanaume yeyote ambaye atafaidika naye. Anajifanya muislamu kwa ajili ya mwanaume na si vingine

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...